Mwenyewe sana tu hunichefua na anavojiweka kipindi ni fashion lakini yeye ndo anavaa vibaya ka nini.Ila kipindi anakiwezeaga sana tu Leo alipendeza na gauni LA mama kijacho.
Anafanana na young thug wa rich gang.
yaani kama limaksai vile, sijui nani kamdanganya anapendeza, au ndo mikato inayomchengua Roma?
Yaleo sijaiona shoga nilikua naangalia series baada ya star tv kukatisha ile tamthilia ya legal wife sina hamu na tv station yoyote.
Ivi imesharudi au bado tu?
Star TV wapuuzi tu tamthilia ikinogaga wanakatishaga sijui wakoje pia wanarushaga baadhi ya episode ila KTN ya Kenya wanaonyesha tamthilia ya the legal wife sijui watairudisha lini ilikua imenoga sana.
yaani kama limaksai vile, sijui nani kamdanganya anapendeza, au ndo mikato inayomchengua Roma?
Na anavojiwekaga sasa Mara viduku rasta zenye marangi ya ajabu mi huwa simuelewi style yake ya nywele na mavazi.
mademu wa jf sura kama wanapuliza moto
ila kwa kuponda wenzao namba moja!!
Bangili ya pua inakua ka ng'ombe dume jeuri ndo huwekwa kipini, kweli baba mtoto ana kazi.
Ndio ufashionista mama.. kuzipunguza akili uonekane wa tofauti
Acha tu wale wajinga wamenikasirisha sana.Na ndio tabia yao ya kukatisha utamu.
LOTUS KYAMBA kathibitisha kupitia kipindi chake cha Nirvana kwamba mimba aliyonayo msababishaji ni mwanahiphop Roma Mkatoliki na anampenda sana. Big up Roma kwa kutarajia kuongeza kiumbe kingine, but vipi kuhusu yule bibie uliyekuwa unamrusha sana fb umempiga chini au?
kile kidemu sio kibaya sana ila jinsi kinavyojiweka ndio kinafanya kionekane kibaya zaid
Duuuh roma anaroho ngumu huyo dem sura kma kavuta ugoro
Yule mwanaume anayefanya naye kipindi yuko smart kweli sijui huwa amwambii mwenzake