Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Mwenyewe sana tu hunichefua na anavojiweka kipindi ni fashion lakini yeye ndo anavaa vibaya ka nini.Ila kipindi anakiwezeaga sana tu Leo alipendeza na gauni LA mama kijacho.

Yaleo sijaiona shoga nilikua naangalia series baada ya star tv kukatisha ile tamthilia ya legal wife sina hamu na tv station yoyote.
Ivi imesharudi au bado tu?
 
yaani kama limaksai vile, sijui nani kamdanganya anapendeza, au ndo mikato inayomchengua Roma?

Ha ha ha ha atakua masksai si bure mi kinani chefua ka nini kinamfanya kituko labda kilimfanta Roma achizike nacho.
 
Yaleo sijaiona shoga nilikua naangalia series baada ya star tv kukatisha ile tamthilia ya legal wife sina hamu na tv station yoyote.
Ivi imesharudi au bado tu?

Star TV wapuuzi tu tamthilia ikinogaga wanakatishaga sijui wakoje pia wanarushaga baadhi ya episode ila KTN ya Kenya wanaonyesha tamthilia ya the legal wife sijui watairudisha lini ilikua imenoga sana.
 
Acha tu wale wajinga wamenikasirisha sana.Na ndio tabia yao ya kukatisha utamu.
 
yaani kama limaksai vile, sijui nani kamdanganya anapendeza, au ndo mikato inayomchengua Roma?

Ha ha ha labda ndio wana hip hop wanapenda mikato hiyo.
Ki hustler zaidi hakuna kuremba wala nini.
 
Ha ha ha ha atakua masksai si bure mi kinani chefua ka nini kinamfanya kituko labda kilimfanta Roma achizike nacho.

kile kidemu sio kibaya sana ila jinsi kinavyojiweka ndio kinafanya kionekane kibaya zaid
 
LOTUS KYAMBA kathibitisha kupitia kipindi chake cha Nirvana kwamba mimba aliyonayo msababishaji ni mwanahiphop Roma Mkatoliki na anampenda sana. Big up Roma kwa kutarajia kuongeza kiumbe kingine, but vipi kuhusu yule bibie uliyekuwa unamrusha sana fb umempiga chini au?

Duuuh roma anaroho ngumu huyo dem sura kma kavuta ugoro
 
Ha ha ha labda ndio wana hip hop wanapenda mikato hiyo.
Ki hustler zaidi hakuna kuremba wala nini.

Basi tu hajawabahatisha kupata watoto wazuri wa bongomuv, angekuwa proud kuwa naye tungeshaona mapichapicha IG na FB
 
kile kidemu sio kibaya sana ila jinsi kinavyojiweka ndio kinafanya kionekane kibaya zaid

Ndo hayo majonjo ya bangili Mara marangi ya ajabu kichwani vinamdanya aonekane mbaya wakati sio nilivoona mja mwepesi nilijua atabadilika kidogo, ndo kwanza hana habari.
 
Yule mwanaume anayefanya naye kipindi yuko smart kweli sijui huwa amwambii mwenzake

Deo huwa anapendeza kashajijulia mavazi yanayo mtoa, ngoma kwa Lotus sasa ajitahidi kuvaa kunakoendana naye na maudhui ya kipindi cha fashooooni.
 
Back
Top Bottom