Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

duuu madawa hayawez ishaa,wakubwa ndio wanayasambazaa

Binamu ulimuona jana ray c alivyokuwa anamwaga michozi kanyimwa methadone?, ivi yule zimo kweli? NIlimuonea huruma lakin, ila walimpa nasikia maskin
 
nshayaona sana tu mama angu mzazi maana kitaani kwetu kino jirani yetu muuzaji

mi mpk bangi nilinusurika kuvuta kidoogo tu!
mana siku tuliyopanga tukavute mda wa kwenda kufundishwa dingi akaniita
wenzangu wakasubiri wakaona nachelewa wakaenda peke yao...
nikanusurika...

ukikaa m/mala,kino vtu vya kawaida sana hvyooo

Kwetu Kaskazini .....majani hatuchukulii Kama sehem ya madawa ya kulevya ...tumekuwa tukiona wanaovuta Bhang wanna maguvu ..wababe ..na wanafanya Kazi sana au darasani wanna akili sana ...Kwetu ...kunywa pombe au kuvuta bangi ni Nadra sana kumbadili Mtu .... KITU TULIKUA TUNAONA CHA AJABU NA WALIOKUA WANAFANYA WANAKUWA HOPELESS NI WAVUTAJI WA PETROLI NA GUNDU ....ILIKUWA MAARUFU SANA KWA MAKAPURWA AU CHOKORAA PANDE ZA NAIROBI
 
Back
Top Bottom