Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniwahi mkuu, nilikua nataka niandike kitu hiki hiki.Namba 11 ama namba 7 mara nyingi anakuwa na uwezo wa kucheza kama full back kwenye modern football.
Maana beki na 2 na beki no 3 ndio wanatumika kama mawinga sana
Sasa kama ni hivyo ilibidi awe wing back na siyo central back, unless kama kocha alihitaji mchezaji mwenye speed kucover gape la CB.Namba 11 ama namba 7 mara nyingi anakuwa na uwezo wa kucheza kama full back kwenye modern football.
Maana beki na 2 na beki no 3 ndio wanatumika kama mawinga sana
Mwl wa timu kaamua kutumia utaalamu wakeMaisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
View attachment 2059399
Kocha wa al ahly sio mwarabu wewe falaMaisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
View attachment 2059399
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]maana mdaka mishale wana mtoboa kila uchwao
Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
View attachment 2059399
Moshi kuna ndizi mshale. Itakuwa ndio anadaka sio mshale silaha.maana mdaka mishale wana mtoboa kila uchwao
Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
View attachment 2059399
Nakumbuka ile mechi ya Simba na A.S Vita, kule Congo, alifanya kazi kubwa ya kumzuia Djuma ambaye kwa sasa yupo Yanga. Shabalala alimshindwa kabisahata Nicholas Gyan alikuja kama winga wa kulia, lakini alichezeshwa kama full back upande huo na kwa malengo ya mwalimu na aina ya wapinzani, alifanikiwa