Kumbe Miquissone anacheza kama beki Al Ahly

Kumbe Miquissone anacheza kama beki Al Ahly

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana

2BB954D9-067A-4EBB-947B-7F5548E6A73C.jpeg
 
Namba 11 ama namba 7 mara nyingi anakuwa na uwezo wa kucheza kama full back kwenye modern football.

Maana beki na 2 na beki no 3 ndio wanatumika kama mawinga sana
Sasa kama ni hivyo ilibidi awe wing back na siyo central back, unless kama kocha alihitaji mchezaji mwenye speed kucover gape la CB.
 
Hata Nicholas Gyan alikuja kama winga wa kulia, lakini alichezeshwa kama full back upande huo na kwa malengo ya mwalimu na aina ya wapinzani, alifanikiwa
 
Haina tatizo kwanza ashukuru Mungu yupo kikosi cha Kwanza na pia in a modern football mawinga wana uwezo wa kurudishwa nyuma na kucheza kama mabeki wa pembeni kwa sababu nao wanatumika sana katika kupandisha mashambulizi hata Antonio Valencia alikuwa wenger namba 7 kabla ya kurudishwa full back namba mbili
 
Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana

View attachment 2059399

Nyie mitakataka ya utopolo inaonekana mpira hamuujui wa kuuelewa kabisa!
Halafu mlivyo mataahira ni kwamba kama angewekwa bench ungekuja huku na kukimbilia kuwa hachezeshwi!
Kachezeshwa unaleta uzi wako kinafki kuponda kwa kuwa kachezeshwa beki!
Utopolo akili hamna kabisa….
 
Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana

View attachment 2059399

Angelikuwa tp mazembe na akachezeshwa kama beki usingelalama, watu weusi baadhi yetu sijui tunakwama wapi......

Al ahly wako sahihi, na kocha anaepanga kikosi ni mweusi, sasa unalaumu tena waarabu wabaguzi......dah
 
hata Nicholas Gyan alikuja kama winga wa kulia, lakini alichezeshwa kama full back upande huo na kwa malengo ya mwalimu na aina ya wapinzani, alifanikiwa
Nakumbuka ile mechi ya Simba na A.S Vita, kule Congo, alifanya kazi kubwa ya kumzuia Djuma ambaye kwa sasa yupo Yanga. Shabalala alimshindwa kabisa
Pia, tukumbuke, pale MANUTD, Valencia na Ashley Young walibadilishwa, badala ya ushambuliaji, wakawa walinzi.
 
Back
Top Bottom