Kumbe mji siyo mzito, walimwengu ndo wazito

Da mange alitoaga siri mbona kabla Swithat hajarudi kutoka India kwamba alienda kutolewa ili atangazie biashara hiyo hospital. alipewa offer yani
Hivooo? Basi hii ilinipita kwa Mange!

Nilitaka nishangae hela alikozipata[emoji44][emoji44][emoji44]

Hilo duka kumejazana mapungaa tu, no wateja at all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da mange alitoaga siri mbona kabla Swithat hajarudi kutoka India kwamba alienda kutolewa ili atangazie biashara hiyo hospital. alipewa offer yani
Ukweli usemwe, yaan sasa hivi hapendezi hata kwa bakora[emoji44][emoji44]....ni mara mia angebaki na unene wake!

After all hakuwa mnene wa kutisha, yy angeenda zake gym na kula kidogo basi!

Sasa hivi kawa kama kuku aliyenyonyolewa nywele shingoni, hapendezi hataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli usemwe, yaan sasa hivi hapendezi hata kwa bakora[emoji44][emoji44]....ni mara mia angebaki na unene wake!

After all hakuwa mnene wa kutisha, yy angeenda zake gym na kula kidogo basi!

Sasa hivi kawa kama kuku aliyenyonyolewa nywele shingoni, hapendezi hataa

Sent using Jamii Forums mobile app
amekua sio mzuri tena na hata akivaa hapendezi. annenepe kidunchu tu nguo zimkae. Yani yeye na Uwoya bonge bado Uwoya kampita mbaaaali kule kwenye kupendeza
 
Unene wa kupunguzwa na madawa au ugonjwa huwezi kupendeza kamwe
 
amekua sio mzuri tena na hata akivaa hapendezi. annenepe kidunchu tu nguo zimkae. Yani yeye na Uwoya bonge bado Uwoya kampita mbaaaali kule kwenye kupendeza
Hivi ukiukata utumbo utanenepaje tena?[emoji44]

Maana alichokifanya kaukata ili akila kidogo ashibe, yaaani maana ni kuwa alikuwa mlafi kujizuia kula hawezi, that's y akakatwa!

Hainaga kunenepa tena hiyo, still bado ina madhara huko mbeleni!

Maisha hayaa[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukiukata utumbo utanenepaje tena?[emoji44]

Maana alichokifanya kaukata ili akila kidogo ashibe, yaaani maana ni kuwa alikuwa mlafi kujizuia kula hawezi, that's y akakatwa!

Hainaga kunenepa tena hiyo, still bado ina madhara huko mbeleni!

Maisha hayaa[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Mustapha kawa bonge tena? wanasema ukiendekeza kula unanenepa tena. Mange mwenyewe alikua anasema Tz Swithat anavyopenda kula kula asipokua makiini atarudi kule kule kwenye unene
 
Hasanali kawa bonge tena?[emoji44][emoji134]

Sasa kwanini wanajitesa? Si Bora uende gym wtf!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom