hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaahaaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Mmmh hizi sasa sifa!!! Yaani sijaelewa kuanzia mwanzo mpaka mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Thank you God"
Hahahaaaa. Sana tuHuu ubuyu wa code umenirejesha JF kwa kasi ya 4G una ladha yake bwana. Ubuyu unasumbua kichwa sio ubuyu uko waziiii hata hausisimui
Hujui code but ni mbishi[emoji16][emoji16]...Ni huyo mjela jela wa uraiani[emoji1787][emoji1787]Mmh hawezi kuwa huyo bwana, si katoka kifungoni juzi tu???
"Thank you God"
Hakuna cha kanisa wala nini, ni mwendo wa kitapeli tuuHivi yule mbongomuvi alifanikiwa kufungua kanisa baada ya kufiwa na mtoto wake?
Basi itabidi tumuite aluwatani. Akili iligoma kukubali[emoji3][emoji3][emoji3]Hujui code but ni mbishi[emoji16][emoji16]...Ni huyo mjela jela wa uraiani[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayemsaga ni nani?Ajifunze kumove on kaah!yaani yule Dada haaamini km mtoto wa tande kamuacha etii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Woyooooo...hajahama tu kwake?Diana Kimaro,
Zawadi naichukulia wapi babe
Anasniff?Duuhh ... sepenga kitu anakula muda mrefu sana hajaanza jana wala leo " wadau wanasema hata kupyenga pia anapyenga kitambo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Upandishe hapa mkuuKuhusu kusagana kuna member alileta uzi humu aliwakuta sinza wanakulana mate plus kuchukua room...
Kweli WEMA ukizidi ni fedheha...