Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Haupo serioushuku uswahilini mgawahani day ni buku 3 na nifresh watu wanaishi.............inategemeana na mazingira uliyopo
Haupo serioushuku uswahilini mgawahani day ni buku 3 na nifresh watu wanaishi.............inategemeana na mazingira uliyopo
Unampa chaguo lipi lingine ili akalipwe mapesa mengi?Unaweka hisia kwenye facts ulipwe 4000 tzsh siku nzima tena kwa Dar? Anae fanya iyo kazi ni mwehu na ana upungufu wa kufikiri
Wanachoka sana.Sasa ni heri uwatafutie sehemu nyingine wafanye kazi kwa muda mfupi na walipwe vitita vinono.Saa moja asubuhi mpaka saa Moja jioni wanaruhusiwa
Watumwa walikua wanalishwa vizuri na sehemu ya kulala na mahitaji yote sana ilo wawe na nguvu Sasa huyu GABACHORI yeye anawalipa elfu 4000 na Kila kitu wanajitegemea huu ni zaidi ya utumwaWatumwa walikuwa wakilipwa ujira?
Inawezekana piaTabia ya kulipa kidogo pengine ndiyo iliyomfanya akatekwa
Kuzulumu mtu hela mwisho unaweza kuwa mbaya sana
mkiambiwa kuwa ubaguzi umekithiri Tanzania mnakataa! Kulikuwa na haja gani ya kutaja uasili wake? Kwani yeye sio mtanzania kama wewe? Grow up wacha ubaguzi wa rangi! Kama unaona afanyalo ni kosa unahaki kulisema lakini sio kwa kutumia lugha za kibaguzi.Huyu muhindi anatesa sana watanzania imagine Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa dar es salaam analipa 4000 yaani buku nne hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Ulitaka awalipe kiasi gani?Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Unapendekeza walipwe ngapi kwa siku?Tabia ya kulipa kidogo pengine ndiyo iliyomfanya akatekwa
Kuzulumu mtu hela mwisho unaweza kuwa mbaya sana
asiwalipeUlitaka awalipe kiasi gani?
Si Kweli, MO Kibarua analipwa 7 na kitu kama 7500 hivi kwa siku na pia hawa sio waajiriwa wa MO bali kuna kampuni zinachukua hio Tenda wanakubaliana na MO wanapewa hela na wao ndio wanaoajiri hao Vibarua.Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
We umepata Kwa njia laini lainiKama utaki ach ujalazimishwa...
Kama unataka pesa kwa njia laini laini mbona zipo
We ni kijakazi wake sio umekujaa kumtetea huyo muhindi kokoSi Kweli, MO Kibarua analipwa 7 na kitu kama 7500 hivi kwa siku na pia hawa sio waajiriwa wa MO bali kuna kampuni zinachukua hio Tenda wanakubaliana na MO wanapewa hela na wao ndio wanaoajiri hao Vibarua.
Watumwa wa wapi hao waliolishwa vizuri?Watumwa walikua wanalishwa vizuri na sehemu ya kulala na mahitaji yote sana ilo wawe na nguvu Sasa huyu GABACHORI yeye anawalipa elfu 4000 na Kila kitu wanajitegemea huu ni zaidi ya utumwa
Hapana sina shida pesa n wala sijaja kulalamika happsWe umepata Kwa njia laini laini
Achana nalo jinga Hilo!Unapendekeza walipwe ngapi kwa siku?
Anavyomu-address unaona ana chuki yake moyoni.Si Kweli, MO Kibarua analipwa 7 na kitu kama 7500 hivi kwa siku na pia hawa sio waajiriwa wa MO bali kuna kampuni zinachukua hio Tenda wanakubaliana na MO wanapewa hela na wao ndio wanaoajiri hao Vibarua.
Exactly! Jamaa analalamika wakati yeye mwenyewe hawezi hata kumuajiri mtu mmoja lakini analaumu anaeajiri watu tele kufanya kazi zisizo na skill yeyote ile.Sasa unamlaumu wakati kazi yenyewe kibarua Tena ni unskilled workers!
Ukiona haitoshi tafuta pazuri ukafanye kazi, hii Dunia ni soko hulia. Hiyo unayoidharau Kuna mwingine Hana hata pa kuipata Toka asubuhi Hadi jioni.
Yeye analipa kulingana na anavyoweza, anzisha viwanda vyako uongeze ujira kwa wafanyakazi wako.