Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Wanao doubt Mo Dewj kulipa 4,000/- hebu kuweni wawazi nyie House girl wenu mnawalipaga shilingi ngapi majumbani mwenu? Tuache mihemko, kwani Kuna mtu anamfunga kamba akamlipe 4k? Unataka alipe pesa hata ambayo mtu hawezi kuingiza faida yake per day? Ujasiriamali si mchezo, kwa yeyote anayeweza kulipa vizuri atoe Fursa watu watoke Kwa Mo wakafanye kazi kwake.
Muambieni huyo GABACHORI huu mchezo wake uishie 2029 akiendelea nao 2030 nikiwa ikulu anaenda kufirisika
 
Wanao doubt Mo Dewj kulipa 4,000/- hebu kuweni wawazi nyie House girl wenu mnawalipaga shilingi ngapi majumbani mwenu? Tuache mihemko, kwani Kuna mtu anamfunga kamba akamlipe 4k? Unataka alipe pesa hata ambayo mtu hawezi kuingiza faida yake per day? Ujasiriamali si mchezo, kwa yeyote anayeweza kulipa vizuri atoe Fursa watu watoke Kwa Mo wakafanye kazi kwake.
Tena kuna kiwanda chake wanapata chai na lunch.
 
Watanzania Acheni Ujuaji na unafiki kwani huko maofisini mtu anayelipwa laki 2 ukipiga hesabu kwa siku n sh ngapi?
Mabaamedi wanalipwa sh ngapi kwa siku? Wauza vyakula migahawani na mahotelini mnajua wanacholipwa?
Housegirl na Houseboy? Wanaouza maduka kkoo ya Wachaga na wakinga kwa siku unajua analipwa bei gani?
Issue sio MO ni mfumo wa Nchi nzima tu watu wananyonywa sana.
 
Back
Top Bottom