PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,776
- 26,168
MO analipa 4,000Sasa unamlaumu wakati kazi yenyewe kibarua Tena ni unskilled workers!
Ukiona haitoshi tafuta pazuri ukafanye kazi, hii Dunia ni soko hulia. Hiyo unayoidharau Kuna mwingine Hana hata pa kuipata Toka asubuhi Hadi jioni.
Yeye analipa kulingana na anavyoweza, anzisha viwanda vyako uongeze ujira kwa wafanyakazi wako.
Muuza uduvi amejiajiri, kwa siku anapata 700, sasa hapo sijui bora yupi ?