Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Ni rahisi kumuona mtu ni mzembe au mvivu na hata kumuona hafai kabisa pengine kwa kukosa hata noti ya shilingi elfu 1 . Ila elewa maisha haya yana siri nyingi mno mno.Shukuru ulipo na usikejeli waliochin yakoHuyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani elfu nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga