MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,240
- 3,972
Umakazania ubaguzi, sasa Mo sio muhindi!? Mo ni muhindi!Serikali hiyo hiyo pia imeweka sheria na miongozo mbali mbali ya kuwalinda hao wafanyakazi,unadhani msimamizi wa hizo sheria ni Mo Dewji?
Kima cha chini cha serikali kinafahamika na masaa ya kazi yanafahamika huyo mleta uzi ameleta thread ya kibaguzi na sio hoja ndio maana nimepinga hata yale ya msingi yaliyo katika thread uzi wake.