Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Huyu anatesa sana Watanzania imagine.

Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne

Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Je hao wanaolipwa hizo pesa wana alternative ? Je Serikali imetoa shughuli yoyote ili watu wapate ujira..., Unadhani ni wangapi hata hio elfu 4 hawapati pamoja na kupiga madeals ya hapa na pale...

Na unadhani akilipa elfu 15 na matozo ya Serikali hio Mo drinks bado utanunua kwa bei sawa na hio ? Bora huyu watu wanajipeleka kuna wale ajira wala ujira hawatupi na bado wanatukamua na hakuna huduma wanayotupa


Welcome to Capitalism
 

Attachments

  • 1735820880468.png
    1735820880468.png
    820.6 KB · Views: 18
Sikati kazi, au kufundisha watu kuchagua kazi. Ni uhakika unaongea usichokijua. Ni basi umasikini tu na vijana tunaumia sana sababu ya usimamizi mbovu sana wa serikali yetu.

Sikia mule kwenye ivyo viwanda vya vya MO na bahatesa ni JEHANAMU. Huwezi kunielewa sababu itakuwa hujawahi kubeba hata tofauli wewe.

Bahati nzuri nishawahi kupita kwenye ivyo viwanda vya baharesa na MO buguruni na extetnal..

Wewe nina uhakika wa 100% hujawahi beba hata kiroba hatuwezi ongea lugha moja. Mtoa mada yuko sahihi sana.
Tufungue ili tukuelewe mkuu.
 
Isiwe kisingizio eti maisha laini wangekuwa wavivu kiasi hicho hata hiyo kazi wasingepeta mkuu.Tukemee kwa nguvu zote watu walipwe vizuri kulingana na kinachozalishwa asee
Boss hizo issue za kulipwaa 4000 kwa siku kwa daily worker kwa viwanda vya Mo sio kweli huyu muhuni kaleta tu uzi wa kibaguzi,Pili hakuna pesa inayotosha...wakati inalalamikiwa 4K ya Mo ...lakini pia kuna Binadam wanalalamikia malipo ya six figures.
Serikali imeweka sheria ya kima cha chini kwa muajiriwa...Je unajua kinachofanywa na hao hao Watanzania wenzetu waliopewa jukumu la kusimamia hizo sheria??
Tunarudi pale pale issue sio Mo ..issue ni serikali na roho ya ubinafsi tulionayo Watanzania
 
Huyu anatesa sana Watanzania imagine.

Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne

Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Fungua wewe kiwanda ulipe elfu arobaini kwa siku,ili upate swawabu kwa yesu,
 
Huyu anatesa sana Watanzania imagine.

Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne

Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga

Anatesa sana watanzania, kwani mo sio mtanzania! Ila watanzania wengine bwana! Tuacheni ubaguzi
 
Huyu anatesa sana Watanzania imagine.

Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne

Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Hiyo shs 4000 ni kwa kazi gani? Pengine ni kazi za makubaliano ambazo kianzio ni hiyo elfu 4 na unapofanya zaidi na hela inaongezeka,ukiwa mvivu utaondoka na hiyo elf4.
 
Boss hizo issue za kulipwaa 4000 kwa siku kwa daily worker kwa viwanda vya Mo sio kweli huyu muhuni kaleta tu uzi wa kibaguzi,Pili hakuna pesa inayotosha...wakati inalalamikiwa 4K ya Mo ...lakini pia kuna Binadam wanalalamikia malipo ya six figures.
Serikali imeweka sheria ya kima cha chini kwa muajiriwa...Je unajua kinachofanywa na hao hao Watanzania wenzetu waliopewa jukumu la kusimamia hizo sheria??
Tunarudi pale pale issue sio Mo ..issue ni serikali na roho ya ubinafsi tulionayo Watanzania
Rejea comment yangu nimesema pengine mo hajui ila wasimamizi wake
 
Mama ntilie analipa afu tatu kwa kutwa ila hana utajiri kama wa mo,hivyo tuache kulinganisha hawa watu wawili in terms of malipo,kifupi tu huyo mo ni mwizi na tapeli anayetengeneza faida kubwa kupitia sera mbovu za chama tawala na ndio maana jiwe alimtingisha kidogo kwa sababu aliona ni katapeli,na sio mo tu hata wengine wenye viwanda wanaowalipa ujira wa kipumbavu watanzania haijalishi ni mwarabu au mswahili mkristo au muislam.Tukemee utumwa huu wa kutengeneza matajiri wanaopata utajiri kwa kuwanyonya watanzania
 
Mbona unatumia maneno machafu ya kibaguzi? Hivi wewe unadhani ndiyo una hatimiliki ya Utanzania kuliko Mo?
Mchango wa Mo kwenye Pato na uchumi wa Tanzania unalingana na wako wewe mkuu?

Jadili mambo kwa kuheshimu wengine na kuzuia hisia za chuki kukutawala.

KAMA SMT wanaaambiwa wachague raia mmoja kati yake yeye na Mo na mmoja atupwe kwenye ziwa Victoria wapewe mamba serikali haitojiula mara mbili mwamba tutampoteza humu JF
 
Back
Top Bottom