Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,512
- 2,508
Fungua na wewe kampuni...Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
...Ni Hayo Tu!