Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Kazi ya aina gani tujue kwanza unaweza Kuta walistahili kulipwa Buku tu, Sema Mo Kwa uugwana kaweka 4000. Au kweli ananyonya tuangalie nini. Labda kufagia uwanja na kusogeza box tu.

Ila nachosikia Hawa wahindi wanatabia ya kuwa na payroll mbili, Moja ya konesha serikali wanalipa kidogo ili kukwepa Kodi, nyingine ya kutunza malipo Halisi na wafanyakazi pamoja na za rushwa za Wabongo wanaowapa deal mabali mbali.

Kuna watu nasikia wanapgishiwa nyumba, ili wanendelee kutoa michongo.
 
Mwaka jana kuna vijana ZaidI ya 3 nimekutanao asubuhi wananiomba nauli wanawahi kufanya kazi kiwandani ,kumbe masikini wanalipwa 4000 per day, ni bora uwe bodaboda TU
 
Atleast kawapa Watanzania option ya kuishi boss...wewe ulioni hilo sababu una kazi ya kukufanya uishi.
Huku kibarua cha kupanda mpunga kuanzia saa2 hadi saa9 ni 5000-7000 kula ni kwa mwenye shamba na ni msosi wa uhakika. hapo hakuna hela itatoka kwa ajiri ya usafiri yaani unafikisha home5000 ama 7000 nzima nzima.

Usitete unyonyaji na utumwa ili hali wenzetu wanaibwa kwani serkali ikisema atoe angalau15k atafunga hicho kiwanda kwa kushindwa kuwalipa hiyo hela? jibu ni hamna na pengine mo hajui watu wanalipwa vile ila alio waamini ndo wanafanya hivyo.

hata hivyo wahindi wako hivyo. Apingwe na mtu yeyote mwenye akili timamu
 
Kazi ya aina gani tujue kwanza unaweza Kuta walistahili kulipwa Buku tu, Sema Mo Kwa uugwana kaweka 4000. Au kweli ananyonya tuangalie nini. Labda kufagia uwanja na kusogeza box tu.

Ila nachosikia Hawa wahindi wanatabia ya kuwa na payroll mbili, Moja ya konesha serikali wanalipa kidogo ili kukwepa Kodi, nyingine ya kutunza malipo Halisi na wafanyakazi pamoja na za rushwa za Wabongo wanaowapa deal mabali mbali.

Kuna watu nasikia wanapgishiwa nyumba, ili wanendelee kutoa michongo.
Kitendo cha mtu kutoka kwakwe na kuja kwako kwa jina kazi la kazi haijarishi ni kazi hata kama ni kuangalia movie tu hiyo hela haitoshi.

Ndio maana usipoenda hupewi hiyo hela maana yake hujadhalisha. huyo ni mwinzi
 
Sasa unamlaumu wakati kazi yenyewe kibarua Tena ni unskilled workers!

Ukiona haitoshi tafuta pazuri ukafanye kazi, hii Dunia ni soko hulia. Hiyo unayoidharau Kuna mwingine Hana hata pa kuipata Toka asubuhi Hadi jioni.

Yeye analipa kulingana na anavyoweza, anzisha viwanda vyako uongeze ujira kwa wafanyakazi wako.
Reasoning 👍👍👍V/S Feelings 👎👎👎
 
Back
Top Bottom