Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
10,000 kwa siku.Ulitaka awalipe kiasi gani?
Angalau buku moja kwa lisaa, sasa hivi ni kama analima 400 kwa lisaa! Mpiga debe anayipga debe kwa dakika 10 tu anapewa 500 na konda.
10,000 kwa siku.Ulitaka awalipe kiasi gani?
Hana shule halafu anataka NTEZE (10K)Kuna member mmoja wa JF aliwahi kupandisha uzi hapa kwamba kapata kazi METL kama HR na mshahara ulikuwa laki mbili na nusu.
watu wakamshauri aende tu maana hana namna nyingine.
250,000 ni sawa na elfu 8 kutwa, na huyu ni Degree Holder😅😅😅
sasa wewe Ali kibarua unataka upewe elfu 10 kutwa?
Kama hulijui Jaramillo la kitaa utaona mdogo, sio Metltu ni viwanda vyote mpaka AzamKuna member mmoja wa JF aliwahi kupandisha uzi hapa kwamba kapata kazi METL kama HR na mshahara ulikuwa laki mbili na nusu.
watu wakamshauri aende tu maana hana namna nyingine.
250,000 ni sawa na elfu 8 kutwa, na huyu ni Degree Holder😅😅😅
sasa wewe Ali kibarua unataka upewe elfu 10 kutwa?
ChoiceVariable hivi ndivyo viwanda vyenu mnavyovisifia kucha kutwa??Na wengine eti utakuta hadi wanahonga kupata nafasi
Muda mwingine jaribuni kutoka nje kuangaza ya dunia. Hao mama lishe wote unaowaona mjini humu wasaidizi wao wanalipwa 3000 kwa siku imagine toka asubuhi chai, chakula cha mchana hadi usafi jioni na bado mtu yupo tu ndo ujue Hali mtaani ni mbayaBuku 3 siku nzima??
Hapana useme hivyo, labour law zirekebishwe, walipwe ujira wenye sura ya kibinadamSasa unamlaumu wakati kazi yenyewe kibarua Tena ni unskilled workers!
Ukiona haitoshi tafuta pazuri ukafanye kazi, hii Dunia ni soko hulia. Hiyo unayoidharau Kuna mwingine Hana hata pa kuipata Toka asubuhi Hadi jioni.
Yeye analipa kulingana na anavyoweza, anzisha viwanda vyako uongeze ujira kwa wafanyakazi wako.
Anazani ni rahisiHana shule halafu anataka NTEZE (10K)
Mtaani watu ambao wanapata chochote wanajua ni kwepesi sanaMuda mwingine jaribuni kutoka nje kuangaza ya dunia. Hao mama lishe wote unaowaona mjini humu wasaidizi wao wanalipwa 3000 kwa siku imagine toka asubuhi chai, chakula cha mchana hadi usafi jioni na bado mtu yupo tu ndo ujue Hali mtaani ni mbaya
Ooh, Lord have mercy.Kuna member mmoja wa JF aliwahi kupandisha uzi hapa kwamba kapata kazi METL kama HR na mshahara ulikuwa laki mbili na nusu.
watu wakamshauri aende tu maana hana namna nyingine.
250,000 ni sawa na elfu 8 kutwa, na huyu ni Degree Holder😅😅😅
sasa wewe Ali kibarua unataka upewe elfu 10 kutwa?
Wapuuzi tu huko viwandani hali mbaya malipo ni duni mno. Mtu mwingine hana option kuliko kukaa nyumbani bora atoke na kurudi na buku hiyo 4Mtaani watu ambao wanapata chochote wanajua ni kwepesi sana
Shida ni kujiona wewe ndio Mtanzania zaidi na unauchungu mno na Watanzania wakati hauna unachowasaidia...huyo huyo Gabachori anasomesha zaidi ya Watanzania zaidi elfu 10 kwa mwaka,anagharamia matibabu ya watoto wa Watanzania wenzake wenye ngozi nyeusi kitengo cha Saratani Ocean Road,Amechimba visima vinavyowapatia maji safi na salama Watanzania wenzake wenye ngozi nyeusi kariibu mikoa mingi yenye vijiji vyenye shida ya maji...Mtanzania wewe umesaidia kipi kwa watanzania wenzako wanaolipwa 4000 kama unavyodai??Watumwa walikua wanalishwa vizuri na sehemu ya kulala na mahitaji yote sana ilo wawe na nguvu Sasa huyu GABACHORI yeye anawalipa elfu 4000 na Kila kitu wanajitegemea huu ni zaidi ya utumwa
Waliomshauri walifanya jambo la maanaKuna member mmoja wa JF aliwahi kupandisha uzi hapa kwamba kapata kazi METL kama HR na mshahara ulikuwa laki mbili na nusu.
watu wakamshauri aende tu maana hana namna nyingine.
250,000 ni sawa na elfu 8 kutwa, na huyu ni Degree Holder😅😅😅
sasa wewe Ali kibarua unataka upewe elfu 10 kutwa?
Huyo tunaweza kumpa udhuru ni mama lishe, lakini pia wafanyakazi wake wanakula hapo na wateja wengine wanaacha chenji au wanahonga. Mo kulipa kiwango sawa cha ujira na mama Lishe mdogo sio sawa hata kidogo.Muda mwingine jaribuni kutoka nje kuangaza ya dunia. Hao mama lishe wote unaowaona mjini humu wasaidizi wao wanalipwa 3000 kwa siku imagine toka asubuhi chai, chakula cha mchana hadi usafi jioni na bado mtu yupo tu ndo ujue Hali mtaani ni mbaya
Bado ni ndogo sana, angalau 10K ambayo ni sawa na buku kwa lisaa.UNATUPIGA KAMBA.. PER DAY KWA KIBARUA NI 7K
Wanaume mmeshaambiwa acheni kuuza uduviMO analipa 4,000
Muuza uduvi amejiajiri, kwa siku anapata 700, sasa hapo sijui bora yupi ?