Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,304
- 2,152
buku 4 usafiri kwenda na kurudi, asubh Chai, mchana chakula na usiku, bili maji, kodi, umeme nk hiyo inasoma negative. Kama ni kweli posho ndiyo basi kila mwaka hatuvuki robo.Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga