Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Hata akifanya elfu kumi au laki moja kuna shareholders wataendelea kutaka faida zaidi hivyo lazima kuna sehemu kuwe na mapunguzo (cost cutting) na ndio hivyo supply and demand na kwenye dunia ya automation nguvu kazi haina demand tena.., tena hapo anaweza kufunga machinery / robotics hazilalamiki, haziibi wala hazichoki na kuugua..Kama tunakunywa jasho la Watanzania wenzetu basi afanye Mo extra buku alipe hao binadamu 10,000 kwa siku.
Cha maana katika hili soko huria ndio maana kila siku nasema liwepo soko huria na serikali UMMA/ Ukiwemo sababu the only language bepari anaelewa ni Profits na hata ukiona anakupa mshahara mkubwa ni sababu bottom line wewe una faida ya ku justify mshahara huo (iwe ni productivity au public relations)
Tukiongelea Coca na Pepsi worldwide hivi unajua ni mazingira mangapi wameharibu na kuna kipindi nchi fulani walifunga kabisa mto watu wakakosa maji safi na salama ili wayatumie kwenye products zao (na hapo bila public relations i.e. wasionekane wanyonyaji hivyo kupoteza sales worldwide ndio maana wanabanwa hata kuwalipa watu peanuts...Halafu Pepsi au Coca-Cola inauzwa shillingi ngapi na vibarua katika hizo kampuni wanalipwa shillingi ngapi??
Tukubaliane baada ya kina Thatcher na Regan kuua vyama vya Wafanyakazi hivyo mfanyakazi kukosa bargaining power it has been a dog eat dog world..., Na ndio hilo Soko Huria (you can not Have your Cake and Eat it too...)
Vyama vya Wafanyakazi Vimekufa wala Havitafufuka....
Kuna kipindi Vyama vya Wafanyakazi vilikuwa vina nguvu sana na ndio vilikuwa vinaset agenda; lakini ni muda sasa kutokana na wahitaji wa ajira kuwa wengi kuliko uhitaji vyama hivi havina meno tena. Swali linakuja ni vipi Vyama hivi vinaweza kuadapt ? Je ifike wakati badala ya kuwa na Vyama vya...