Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Marekani waajiri wanatumia consultants.

Bank ina waajiri wake wachache, kazi nyingi zinafanywa na consultants ambao ni waajiriwa wa ABC Consultancy Services.

Lakini, kwa sababu bank inajali ufanisi, haitaki wizi, yule meneja muajiri wa bank anaweza kuwaukiza wake consultants wanaliowa kiasi gani? Wakisema wanaliowa kidogo sana, wakati bank inailipa ABC Consultancy Services heoa nzuri, bank inaacha kuitumia ABC Consultancy Services.

Kuna jamaa mmoja namjua aliniambia hiki, aliulizwa na meneja wake analiowa kiasi gani na Consultancy Service Comoany aliyokuwa anafanyia kazi.

Kwa Mo Dewji inaonekana Mo Dewji na hayo makampuni anayoyatumia kupata vibarua wote wanashirikiana kuwalioa vibarua mishahara midogo.
Sasa huko ni Marekani Mkuu yani tofauti hapo ni sawa na kufafanisha missiles launcher na Kirungu.

Na ndio maana unaona watu wengi wana ndoto za kuishi huko wanaamini Marekani kutoboa ni simple na ndio maana wanafosi hadi kuzamia ili waje huko.

Watu wanazamia kuja Amerika sio kwasababu wanataka wamuone 50 cent hapana ni kwasababu wana amini michongo ya huko ina malipo mazuri bila kuangalia aina gani ya kazi.

Huku tunaishi kivyetu vyetu na serikali inasaidiana na waajiri kutuminya raia na fresh gurudumu linasonga.

Utakuta hiyo kampuni ya UPAMI ukiichunguza kumbe ni ya kibopa wa serikalini. Sababu ya kufanya hivyo ni pamoja na kumpa favor ili asibanwe banwe kwenye kodi.
 
Ni vigumu mno kufanya upigaji katika kampuni ya mhindi, yeye kwa sababu ni dereva labda itakuwa anapata dili za pembeni kutumia gari la kampuni na kumfanya aingize pesa za ziada.
Rafiki yangu alikuwa ana endesha gari la kampuni ya maji ya DewDrop,mshahara ulikuwa kidogo na posho kidogo,lakini kwenye madili alikuwa anaweza piga 1m bila kusahau wizi wa mafuta.
 
Ni utumwa kwa kweli.nliwahi fanya kazi miaka 11 iliyopita kiwanda cha nondo cha wahindi kilichopo mwanza nyang'homango wilayani misungwa kama kibalua nikawa nalipwa 4000 kwa siku.kazi yenyewe unapewa fuso zima mtu mmoja kushusha screpa aiseee maisha haya.nliishia kubonda kidole na chuma chakavu na wahindi wakagoma kunipa first aid kisa eti mimi kibarua nkaacha kazi palepale kipato changu kiliishia katika kuuguza kidole.
 
Pengine huko watu wako loyal hawaibi na ndio maana busara kama hizo ni kawaida kuziona kwa mwajiri.

Lakini malipo ya 15,000 kuna sehemu yapo.

Tena town hapa hapa.

Huko hakuna upigaji lakini watu wanapakimbia wanakuja kupanga foleni kwenye 4,000.

Mwananchi pale kuna kiwanda cha steel naskia wanalipa 15,000 na kina uhaba mkubwa wa wafanyakazi.
Kuna kipindi Latra walingaganiza madereva wa Daladala kupewa mikataba ya Mshahara wengine wakawa wanakubaliana waweke mshahara wa laki ya kuzugia sababu walikuwa na uhakika hata wakipewa mshahara wa laki tatu which might be above kima cha chini lakini hawataki bora wasipewe kitu wakabidhiwe gari wazungushe na kumlipa mwenye gari....

Ndio maana nikasema hii mifumo huwezi kutaka serikali iingilie nusu nusu wakati wenyewe wameshindwa kabisa kumuokoa raia kitaa (yaani ni kama kuku kila mtu anajitafutia) sasa ukitaka uwafungie hao kuku wakati chakula huwapi kinachofuata ni watu kufa njaa (Hakuna alternatives)

Sasa hivi kuna sekta ya walinzi imeajiri wazee wanapewa laki kwa mwezi hakuna hata off hata moja (ila wengine wanafurahia wapige hio kazi na kupata pa kulala ili wakiamka asubuhi waende kufanya kibarua au wengine kuendesha Boda) Tena bora hawa kama wanalipiwa pensheni sababu wengine kesho yao ni ombaomba uzeeni mtindo mmoja (Kwa yoyote anayeshangaa haya mambo yupo out of touch)

Sasa huko ni Marekani Mkuu yani tofauti hapo ni sawa na kufafanisha missiles launcher na Kirungu.

Na ndio maana unaona watu wengi wana ndoto za kuishi huko wanaamini Marekani kutoboa ni simple na ndio maana wanafosi hadi kuzamia ili waje huko.

Watu wanazamia kuja Amerika sio kwasababu wanataka wamuone 50 cent hapana ni kwasababu wana amini michongo ya huko ina malipo mazuri bila kuangalia aina gani ya kazi.

Huku tunaishi kivyetu vyetu na serikali inasaidiana na waajiri kutuminya raia na fresh gurudumu linasonga.

Utakuta hiyo kampuni ya UPAMI ukiichunguza kumbe ni ya kibopa wa serikalini. Sababu ya kufanya hivyo ni pamoja na kumpa favor ili asibanwe banwe kwenye kodi.
Mkuu nakuelewa.

Nimeanza kazi Wall St. New York City mwaka 2006 nikakutana na jamaa mmoja MJamaica. Kijana tu age yangu, jamaa alikuwa mlinzi. Alikuwa ana ni mind sana kwa sababu nilikuwa napiga suti kali sana, kijana mdogo mweusi kama yeye, nafanya kazi Wall St. Halafu nilikuwa sina mashauzi nampa hi poa tu.

Kuna siku nilikaa naye akaniambia analipwa $40 kwa saaa, na hapo alikuwa anasema anaweza kupata deals za kumlioa zaidi ila anakaa kidogo pale apate muda kabla ya kuhama.

Hizo $40 kwa saa akizichanga kwa mwaka hakosi $80,000. Hapo 2006.

Nikasema "This is America". Kqzi ya ulinzi nilikuwa naichukukia poa kumbe jamaa anazichanga.

Ila Mo inabidi aende na standards za dunia sasa hivi kashakuwa bilionea. Akiendeleza ubahili wa Kibongo unaweza kumchafulia brand kimataifa.
 
Kuna umuhimu wa raia kujipanga katika population control, kupunguza kufyatua ili kupunguza labour supply na hatimaye kuwafanya waajiri kuongeza mishahara ya wafanyakazi. Elon Musk asiwadanganye population ya dunia inaanguka.
 
Huyu anatesa sana Watanzania imagine.

Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani elfu nne

Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Hakuna tajir mwenye huruma, zaid ya ku-pretend!
 
Wakati unamlaumu Mo kulipa 4000, unaweza kutuambia wewe na familia yako mmetoa ajira ngapi kwa Watanzania hata za kuwalipa 2000 kwa siku?

Kwa taarifa tu kwako ndio muajiri mkuu katika sekta binafsi Tanzania na hiyo 4000 unayoikandia binadamu wenzetu wanafanya maisha na kusomesha watoto zao.

Lastly naona damu ya kibaguzi imekujaa mwilini na kujiona wewe ndio Mtanzania zaidi kuliko Mo kisa rangi ya ngozi yako sio?
akili ya kijinga kabisa hii (kwa sauti ya T.A.L)
 
Mkuu nakuelewa.

Nimeanza kazi Wall St. New York City mwaka 2006 nikakutana na jamaa mmoja MJamaica. Kijana tu age yangu, jamaa alikuwa mlinzi. Alikuwa ana ni mind sana kwa sababu nilikuwa napiga suti kali sana, kijana mdogo mweusi kama yeye, nafanya kazi Wall St. Halafu nilikuwa sina mashauzi nampa hi poa tu.

Kuna siku nilikaa naye akaniambia analipwa $40 kwa saaa, na hapo alikuwa anasema anaweza kupata deals za kumlioa zaidi ila anakaa kidogo pale apate muda kabla ya kuhama.

Hizo $40 kwa saa akizichanga kwa mwaka hakosi $80,000. Hapo 2006.

Nikasema "This is America". Kqzi ya ulinzi nilikuwa naichukukia poa kumbe jamaa anazichanga.

Ila Mo inabidi aende na standards za dunia sasa hivi kashakuwa bilionea. Akiendeleza ubahili wa Kibongo unaweza kumchafulia brand kimataifa.
Dunia inazungumziaje kuhusu standard za malipo ya walimu huko mashuleni??

Maana walimu wetu wamekuwa wakiililia serikali for almost a century lakini serikali haijataka kabisa kuendana na standards za dunia.

Kama serikali yetu tu imeshindwa kutimiza matakwa ya waajiriwa wake sa ndio awe MO tena kwa vibarua ambao hawako chini yake??

Mkuu hii naandika nikiwa nimeishuhudia mwenyewe yani watu wanakimbia kwenye malipo ya 10,000 wanakuja hapo kwa MO.

Kwa hiyo inawezekana MO ange set malipo ya 10,000 per day ni wazi angechagua aina gani ya kazi yenye kustahili malipo hayo.

Kuna viwanda vinalipa 15,000 huko vya kufua vyuma na watu wanavikimbia wanakuja kwa MO kuifata hiyo nne ambayo tunaiona ni ndogo.
 
4000 kwa siku sio pesa ndogo mkuu labda kwa sababu ni kwa siku ndo inaonekana ni ndogo
Tuchukulie huyu mtu anafanya kazi siku sita jumatatu mpaka jumamosi maana yake anakula 24000tzs kwa wiki

Zidisha 24000 mara 4 ni 96000/= kwa mwezi na kama kazi inafanyika mpaka jumapili maana yake ni 112000/= kwa mwezi. Mo hana kesi hapo mkuu
 
Dunia inazungumziaje kuhusu standard za malipo ya walimu huko mashuleni??

Maana walimu wetu wamekuwa wakiililia serikali for almost a century lakini serikali haijataka kabisa kuendana na standards za dunia.

Kama serikali yetu tu imeshindwa kutimiza matakwa ya waajiriwa wake sa ndio awe MO tena kwa vibarua ambao hawako chini yake??

Mkuu hii naandika nikiwa nimeishuhudia mwenyewe yani watu wanakimbia kwenye malipo ya 10,000 wanakuja hapo kwa MO.

Kwa hiyo inawezekana MO ange set malipo ya 10,000 per day ni wazi angechagua aina gani ya kazi yenye kustahili malipo hayo.

Kuna viwanda vinalipa 15,000 huko vya kufua vyuma na watu wanavikimbia wanakuja kwa MO kuifata hiyo nne ambayo tunaiona ni ndogo.
Serikali haijajitutumua kujiunga kwenye the giving pledge.

Mimi criticism yangu kwa Mo imejikita kwenye hipocrisy yake ya ku sign the giving pledge na kina Bill Gates, halafu kuwalipa wanaomfanyia kazi $1.5 kwa siku.
 
Dunia inazungumziaje kuhusu standard za malipo ya walimu huko mashuleni??

Maana walimu wetu wamekuwa wakiililia serikali for almost a century lakini serikali haijataka kabisa kuendana na standards za dunia.

Kama serikali yetu tu imeshindwa kutimiza matakwa ya waajiriwa wake sa ndio awe MO tena kwa vibarua ambao hawako chini yake??

Mkuu hii naandika nikiwa nimeishuhudia mwenyewe yani watu wanakimbia kwenye malipo ya 10,000 wanakuja hapo kwa MO.

Kwa hiyo inawezekana MO ange set malipo ya 10,000 per day ni wazi angechagua aina gani ya kazi yenye kustahili malipo hayo.

Kuna viwanda vinalipa 15,000 huko vya kufua vyuma na watu wanavikimbia wanakuja kwa MO kuifata hiyo nne ambayo tunaiona ni ndogo.
Hapo kwa Mo bado ni shida tu ila kwa sababu ni soft drinks na chakula ndio maana watu wanapakimbilia kuliko uende kwenye kiwanda cha kufua chuma ambapo unaweza kuangukiwa na chuma muda wowote kikafyeka mkono au mguu.
 
Wakati unamlaumu Mo kulipa 4000, unaweza kutuambia wewe na familia yako mmetoa ajira ngapi kwa Watanzania hata za kuwalipa 2000 kwa siku?

Kwa taarifa tu kwako ndio muajiri mkuu katika sekta binafsi Tanzania na hiyo 4000 unayoikandia binadamu wenzetu wanafanya maisha na kusomesha watoto zao.

Lastly naona damu ya kibaguzi imekujaa mwilini na kujiona wewe ndio Mtanzania zaidi kuliko Mo kisa rangi ya ngozi yako sio?
Alafu huyu ni yanga A.K.A go go wazi.
Hebu atuambie GSM analipaje.
 
Hapo kwa Mo bado ni shida tu ila kwa sababu ni soft drinks na chakula ndio maana watu wanapakimbilia kuliko uende kwenye kiwanda cha kufua chuma ambapo unaweza kuangukiwa na chuma muda wowote kikafyeka mkono au mguu.
Kazi ndogo malipo kidogo, ukitaka kazi ndogo malipo makubwa nenda kasomee ubenki manager uajiriwe.

We ulitaka MO alipe ngapi ambayo wewe ungeona inatosha?
 
Back
Top Bottom