mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,848
- 22,392
Plus over time4000 kwa siku nzima au kwa saa??
Plus over time4000 kwa siku nzima au kwa saa??
Likes 86 naomba Mungu watoto wenu wakalipwe hiviWakati unamlaumu Mo kulipa 4000, unaweza kutuambia wewe na familia yako mmetoa ajira ngapi kwa Watanzania hata za kuwalipa 2000 kwa siku?
Kwa taarifa tu kwako ndio muajiri mkuu katika sekta binafsi Tanzania na hiyo 4000 unayoikandia binadamu wenzetu wanafanya maisha na kusomesha watoto zao.
Lastly naona damu ya kibaguzi imekujaa mwilini na kujiona wewe ndio Mtanzania zaidi kuliko Mo kisa rangi ya ngozi yako sio?
Mitazamo ya hatari sana hii, hiyo unskilled unayoidharau hujui kuwa inahitajika pia? Kiwanda hakiendi kwa kila mtu kuwa offisini, wewe chai ya alfu 4000 inakutosha??? Kwanini Huna huruma bro? Wanatakiwa wawalipe kwa saa na kima cha chini isipungue 3000 ni dollar moja hiyo tu.Sasa unamlaumu wakati kazi yenyewe kibarua Tena ni unskilled workers!
Ukiona haitoshi tafuta pazuri ukafanye kazi, hii Dunia ni soko hulia. Hiyo unayoidharau Kuna mwingine Hana hata pa kuipata Toka asubuhi Hadi jioni.
Yeye analipa kulingana na anavyoweza, anzisha viwanda vyako uongeze ujira kwa wafanyakazi wako.
Mungu apokee duwa tako,ni makatili sana hao jamaa selfishness imewajaa.Likes 86 naomba Mungu watoto wenu wakalipwe hivi
Wewe ambaye ni mwerevu fungua kiwanda ulipe zaidi ya 4k watu wake kiwandani kwako wafanye kazi simple tu.Cheki mjinga mwingine anatetea watz maskini wazidi kunyonywa tu. Kisa wao maskini hawawezi kuajiri mtu ndo iwe fimbo yakuwasimanga?.
Muhindi bana huyo sio mtanzania! hana huruma hata kidogo! ndio maana walimuacha na kanga kiunono uskumkiambiwa kuwa ubaguzi umekithiri Tanzania mnakataa! Kulikuwa na haja gani ya kutaja uasili wake? Kwani yeye sio mtanzania kama wewe? Grow up wacha ubaguzi wa rangi! Kama unaona afanyalo ni kosa unahaki kulisema lakini sio kwa kutumia lugha za kibaguzi.
Ila tuache kuendeshwa na hisia kisa tu umepata baraka ya kulipwa vizuri ndo ukabeze vya wengineWewe hata huyo house girl utakuwa humlipi!
Sanaa anatesa watuuu huyo nyie hamjui tuuHuyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani elfu nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Okay umenena vyema una viwanda vingapi mkuu??Be
Hii ni tofauti dada wa kazi ni kama member wa familia coz anakula, anavaa, anaishi hapo hapo nyumbani(halipi kodi) akiumwa unamtibia...hii ni tofauti na kulipwa 4000 halafu kila kitu unajitegemea.
Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Ni afadhali kumlaumu anayefanya kuliko aliyeajiri, maana kuna watu wanaitaka hiyo hiyo 4,000/= wanasubiri tu mtu achomoke waingie... Anae fanya iyo kazi ni mwehu na ana upungufu wa kufikiri
Labda niulize. Hivi mtu huajiriwa kisha kulipwa kulingana na mahitaji yake?Be
Hii ni tofauti dada wa kazi ni kama member wa familia coz anakula, anavaa, anaishi hapo hapo nyumbani(halipi kodi) akiumwa unamtibia...hii ni tofauti na kulipwa 4000 halafu kila kitu unajitegemea.
Na wewe unaingia chaka kwa uzushi wa mleta uzi?Umeeewa sababu kuu ya kuanzisha uzi wake?Tulia ujifunze nia yake.Kuwa na huruma wewe,ni watanzania wenzio hao..Serikali inapaswa kuingilia kati, mshahara ulipwe kwa saa na saa moja isiwe chini ya dollar moja yaani 3000 ya kibongo. Wahindi wenziwe hawalipi hivi na viwanda vya wa China ni hivo wachina wenzao hawawalipi hivo.
Kuzaliwa Afrika ni Laana.Wakati unamlaumu Mo kulipa 4000, unaweza kutuambia wewe na familia yako mmetoa ajira ngapi kwa Watanzania hata za kuwalipa 2000 kwa siku?
Kwa taarifa tu kwako ndio muajiri mkuu katika sekta binafsi Tanzania na hiyo 4000 unayoikandia binadamu wenzetu wanafanya maisha na kusomesha watoto zao.
Lastly naona damu ya kibaguzi imekujaa mwilini na kujiona wewe ndio Mtanzania zaidi kuliko Mo kisa rangi ya ngozi yako sio?
Kwa kila siku ata akimlipa mia mbili siyo mbaya, kama tajir kijana wa Africa MO analipa kibarua elf Nne kwa siku yeye mtoa Mada akimlipa housegirl kwa siku Shilingi mia mbili siyo mbaya.Kuna mtu kakuuliza swali, ukiajiri houseboy/housegirl utakuwa unamlipa kiasi gani kila siku?
Kumbe unamtetea mo kisa anaifadhili simba kweli mijitu mieusi akili zero kama hili mjadala wa maana linaleta usimba na uyanga aisee we Kweli kuitwa nyani ni haki YakoUtawaweza nyuma mwiko?Wanatafuta kwa kupunguzia machungu ya kufungwa hovyo na kuburuza kundi klabu bingwa.
exactlyWe mjinga kweli hivyo alivyofanya sio kazi yake hiyo ni kazi ya serikali ambayo wananchi tunatoa kodi yeye anajipendekeza Ili aonekane anawajali watu weusi kumbe anawasabahi