Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Ni rahisi kumuona mtu ni mzembe au mvivu na hata kumuona hafai kabisa pengine kwa kukosa hata noti ya shilingi elfu 1 . Ila elewa maisha haya yana siri nyingi mno mno.Shukuru ulipo na usikejeli waliochin yakoHuyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani elfu nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Facts!Ni rahisi kumuona mtu ni mzembe au mvivu na hata kumuona hafai kabisa pengine kwa kukosa hata noti ya shilingi elfu 1 . Ila elewa maisha haya yana siri nyingi mno mno.Shukuru ulipo na usikejeli waliochin yako
Wanapiga hela sana hao ndio maana hukuti wakishobokea kazi ya udereva wa kumuendesha boss hata kama wanaambiwa 800K wanaiacha wanaenda huko kwa laki 3 kwasababu wanajuaWanafaulisha bidhaa zake kwa maduka ya jumla mikoani sanasana mafuta ya kula, sabuni za unga, sabuni za kipande na bidhaa zingine mbalimbali. Pia wakiwa wanarudi njiani wanapakia magunia ya mazao njiani kama karanga, alizeti,mahindi na mchele bei maelewani 1000 hadi 3000 kwa gunia 1 la 90kg-100kg semi trela inabeba guni 270 hadi 300. Pulling inabeba gunia 440 hadi 550. Wanatusadia sana kusafirisha mahindi
Acha upumbavu, utateteaje mtanzania mwenzako kulipwa 4000 kwa siku kweli?!!!Wakati unamlaumu Mo kulipa 4000, unaweza kutuambia wewe na familia yako mmetoa ajira ngapi kwa Watanzania hata za kuwalipa 2000 kwa siku?
Kwa taarifa tu kwako ndio muajiri mkuu katika sekta binafsi Tanzania na hiyo 4000 unayoikandia binadamu wenzetu wanafanya maisha na kusomesha watoto zao.
Lastly naona damu ya kibaguzi imekujaa mwilini na kujiona wewe ndio Mtanzania zaidi kuliko Mo kisa rangi ya ngozi yako sio?
Vijana wa malori wanasaidia sana. Pia kuna wale wanaozunguka duka kwa duka kusambazia bidhaa na wenyewe wanasaidia. Ila tuweke masihara pembeni Mo analipa hela ndogo. Ila kuna jamaa alifanya kazi humo anasema bidhaa zake anawauzia ma agent na watu wa jumla kwa bei ndogo mno ili maduka ya rejareja wauze kwa 500 na wenyewe waipate faida. Kama akilipa watu hela nyingi nusu lita ya energy bei ya rejareja itakuwa 2000 au 5000.... chain ya kuipata bidhaa ni ndefu mno kila mtu anataka faidaWanapiga hela sana hao ndio maana hukuti wakishobokea kazi ya udereva wa kumuendesha boss hata kama wanaambiwa 800K wanaiacha wanaenda huko kwa laki 3 kwasababu wanajua
Mama ntilie anachuna mabwana kibao, yaani siku nzima lazima kuna Mazezeta kawaliza balaa; ukicompare huo uchangudoa wa chini ya kapeti na kazi za viwandanihuku uswahilini mgawahani day ni buku 3 na nifresh watu wanaishi.............inategemeana na mazingira uliyopo
Mimi kuna jamaa aliniambia kuwa hao wanaopewa bidhaa kuzunguka kwenye maduka huwa wanapewa bonus pindi wanapofikisha target fulani.Vijana wa malori wanasaidia sana. Pia kuna wale wanaozunguka duka kwa duka kusambazia bidhaa na wenyewe wanasaidia. Ila tuweke masihara pembeni Mo analipa hela ndogo. Ila kuna jamaa alifanya kazi humo anasema bidhaa zake anawauzia ma agent na watu wa jumla kwa bei ndogo mno ili maduka ya rejareja wauze kwa 500 na wenyewe waipate faida. Kama akilipa watu hela nyingi nusu lita ya energy bei ya rejareja itakuwa 2000 au 5000.... chain ya kuipata bidhaa ni ndefu mno kila mtu anataka faida
Kuna bei nyingi
1. Bei ya kiwandani
2. Bei ya agent
3. Bei ya duka la jumla
4. Bei ya duka la rejareja
Bonus nahisi ni kwa carton kama sio shilingi 50 basi ni 100. Ila wanafaulishaga mno mtaani 🤣 wanajua wenyewe wanavyojielezea kiwandaniMimi kuna jamaa aliniambia kuwa hao wanaopewa bidhaa kuzunguka kwenye maduka huwa wanapewa bonus pindi wanapofikisha target fulani.
Naskia bonus yao ni 200 kwenye kila chupa ya soda utayouza.
Mshahara wa dereva huyo kwa mwezi naskia ni 150K ila ndio hivyo kuna vidusko vya hapa na pale ambavyo vinawa bust kuliko huo mshahara wenyewe.
Ukishajua hayo, ni rahisi kutengeneza malengo yanayoishUt
ataweka akiba kiasi gani kwa malipo ya 4,000 kwa siku upate mtaji tu wa kuuza maji au mkaa, hata maaandazi. Ni utumwa, udhalilishaji na unyanyasaji.
Huo ni mfano tu. kazi zote za kutwa wanalipwa hivyo. Swali la kitoto sana hiliHuo mpunga una panda kila siku mwaka mzima ?
🌤️🙋♂️✍️🎯👌👍🙏Wakati unamlaumu Mo kulipa 4000, unaweza kutuambia wewe na familia yako mmetoa ajira ngapi kwa Watanzania hata za kuwalipa 2000 kwa siku?
Kwa taarifa tu kwako ndio muajiri mkuu katika sekta binafsi Tanzania na hiyo 4000 unayoikandia binadamu wenzetu wanafanya maisha na kusomesha watoto zao.
Lastly naona damu ya kibaguzi imekujaa mwilini na kujiona wewe ndio Mtanzania zaidi kuliko Mo kisa rangi ya ngozi yako sio?
Mkuu jibu swali na jikite kwenye hoja, wewe na familia yako mmetoa ajira ngapi na mnalipa kiasi gani ili tupate ulinganifu sawa. Tupe jibu.We ni kijakazi wa huyo GABACHORI sio
Mkuu hajawafuata nyumbani kwao na kuwashikia fimbo kufanya kazi kwake!!Kama analipa 4000 kwa siku hiyo kazi haina tofauti na utumwa(slavery).
Mkuu sio kweli, wanaofanya kazi hizo wana akili timamu, wana familia zao na heshima zao na maisha yanaenda vizuri.Unaweka hisia kwenye facts ulipwe 4000 tzsh siku nzima tena kwa Dar? Anae fanya iyo kazi ni mwehu na ana upungufu wa kufikiri
Unafahamu kima cha chini cha mshahara hapa bongo??Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani elfu nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Kuwa na huruma wewe,ni watanzania wenzio hao..Serikali inapaswa kuingilia kati, mshahara ulipwe kwa saa na saa moja isiwe chini ya dollar moja yaani 3000 ya kibongo. Wahindi wenziwe hawalipi hivi na viwanda vya wa China ni hivo wachina wenzao hawawalipi hivo.Kama kazi kwa Mo ina malipo kidogo,uende majalalani ukaokote makopo uuze.Kulalamika muda wote wakati kipato/matumizi ya kaya nyingi ni chini ya dola moja/2400 ni uchizi-fresh huo.
Tukatae huu ufala kwenye nchiyetu, ni wakati sasa malipo yawe kwa saa na saa moja isiwe chini ya dola moja 3000 ya kibongo kwa ...wapi waziri wa kazi??Sio Mo peke yake, Nenda pale Keko kwenye Go down la monalisa kwa wachina, kwa siku ni hiyo hiyo 4000, ila wanatoa chakula pale nje ya hiyo 4000
Ila vijana wanapigika sana