Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Kumbe unamtetea mo kisa anaifadhili simba kweli mijitu mieusi akili zero aisee we Kweli kuitwa nyani ni haki Yako
Jinsi ulivyoandika uzi kwa hasira,lugha isiyo na stara jumlisha kumuita majina ya kihuni na kibaguzi ulitegemea kipi kwa mtu anayesoma katikati ya mistari yako?Halafu,kwani unabisha wewe si mnywa supu kibudu kwa mahindi ya kuchoma/shabiki kisirani wa nyuma kuna mwiko?
 
We ni nyani kalambe miguu ya mo kama umekuja hapa ukizani Mimi naongea kishabiki sahau nimeshatoka huko siwezi KUSHABIKIA hizo takataka
 
Tujilaumu sisi kwa kutowekeza kwenye viwanda na kuwa wachuuzi wa bidhaa za China. Uchuuzi hautengenezi ajira na una faida ndogo kwa taifa. Pia tulilaumu bunge letu kwa kutunga sheria za hovyo zinazofanya watu wengi wawe wachuuzi badala ya manufacturers.
 
Utopolo ndio nini mbona sikuelewi unachoongea unatatizo la afya ya akili nini mzee maana unaongea vitu kama umedata
Kwenye uzi huuhuu kuna mtu kakutolea na mfano jinsi ulivyokuwa unabeti kwa Simba SC mnyama na kuiacha timu yako pendwa Yanga/chura aka utopolo.Nalo unajidai una malyenge hukuona?
 
Kwenye uzi huuhuu kuna mtu kakutolea na mfano jinsi ulivyokuwa unabeti kwa Simba SC mnyama na kuiacha timu yako pendwa Yanga/chura aka utopolo.Nalo unajidai una malyenge hukuona?
Sikuelewi unachoongea naona kama umechanganyikiwa Yanga chura utopolo na simba mnyama ndio nini kwenye maisha yangu yaani sikusomi ujue kama akili zimekuruka
 
Duh mimi kuna mtu mimemuajiri namlipa 20,000 tsh kwa siku na anaona ndogo! Juzi ameniambia nimuongezee la sivyo ataacha kazi!!
Hata mwingine atakuja na kutueleza jinsi anavyomlipa housegirl wake elgu 42000 kwa siku.Kwani kuandika tu ni gharama kiasi gani?
NB;Hela si vikalio kwamba kila mtu anamiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…