Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Heri usiajiri watu kwa kuwalipa ujira wa wizi huo ni utumwa kama utumwa mwingine na wote hao wanafanya kazi kwa sababu hawana namna yaani wanatumikishwa tu.
 
Wewe una mfanyakaz hata mmoja? Tuanzie hapo.
 
Mo si mtanzania ni muarabu sijui muhindi

Hawa hawana tofaut na wavamizi
 
The sad thing ni kwamba Mo Dewji naye eti ka sign "the giving pledge" kugawa mali zake karibu zote kabla hajafa.

 
Unaweka hisia kwenye facts ulipwe 4000 tzsh siku nzima tena kwa Dar? Anae fanya iyo kazi ni mwehu na ana upungufu wa kufikiri
Sasa hapo mwenye shida ni Mo dewji au aliyekubali kufanya kazi kwa ujira huo??..Unatukana watu wengi sana kwa kibri ya hiyo pesa unayo earn per day...Hao wehu na wapungufu wa akili ni Watanzania wenzako na wanamiliki familia na kusomesha kwa kiasi hicho cha wendawazimu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…