Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Jinga wewe hamna mtu anaelisha familia na kusomesha Kwa elfu 4 dar labda awe mwizi
 
Unafikiri kwa nini Serikali inakamata wauza dawa za kulevya? Kwa nini isiwaambie tu watu wasinunue??
 
Kuna member mmoja wa JF aliwahi kupandisha uzi hapa kwamba kapata kazi METL kama HR na mshahara ulikuwa laki mbili na nusu.

watu wakamshauri aende tu maana hana namna nyingine.

250,000 ni sawa na elfu 8 kutwa, na huyu ni Degree Holder😅😅😅

sasa wewe Ali kibarua unataka upewe elfu 10 kutwa?
 
Bila kuingilia mada
Hivi Muheshimiwa Mo anaweza kuwa ameajiri wafanyakazi wangapi Tanzania
Najua ameajiri sana lakini sidhani kama ndiye muajiri mkuu secta binafsi labda kama una angalia kwa trickle down effect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…