Kumbe motor grader huwa linapinduka! Ndo mara ya kwanza kuona

Kumbe haya madude MaCaterpillar huwa yanapinduka..!
 
Kuokotwa maiti zisizojulikana mto ruvu, kudungwa risasi hadharani kwa mwanasiasa Tundu Risu na mpaka sasa hakuna taarifa za kushikiliwa mtu kwa makosa hayo kutaiwekaje Tanzania kwenye moja ya nchi zenye amani?
Yapo matukio mengi sana ya uvunjifu wa amani. Yanayotajwa ni kwa sababu hao ni watu maarufu. Ya Kibiti hayasahauliki, wanaofungwa bila kufikishwa mahakamani ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…