Kumbe motor grader huwa linapinduka! Ndo mara ya kwanza kuona

Kuna tairi moja halipo, yawezekana lililazwa makusudi kwa ajili ya marekebisho fulani,
Mkuu ni kweli halipo
Lakini nilisha shuhudia likitembea bila tairi moja
Trecta ikitilewa tairi ya mbele linasonga kama kawa
 
Yan pinduka mkuu me nimewai shuhudia kwa macho likipinduka kule tukuyu mwakaleli ndan ndan
 
We utakuwa na maana yako si bure..[emoji1787][emoji1787]
Watu bhana! Mkuu yanaangukaga pia..

Bata Sana wewe..
Umepinda wewe maana ipi nyingine sasa
 
K vant hazijawahi kumuacha mtu salama..[emoji1787]
Ukizinduka utakuja kujua si akili zako..
Karibu mvinyo murua..kvant ni zenyu nyie...[emoji2839][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…