Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Nasubutu kusema bulaza ww ndo huna akili jinga na kubwa jinga kabisa ,mpk umri huo hujui mwanamke kutongozwa ndo jadi?????? Wapi kauza K kwenye maelezo yako ulichokifanya umemtongoza kwa kisu kikali na maneno ya uongo kwa nn asijae ???? Kwa ulivyomdanganya hata angekuwa mke wa Nani angejaa tu ,KIUFUPI ACHA MAMBO YA KIVULANA BULAZA kama mtoto katulia huoni ishu yoyote anakupa respect za kutosha jaribu kuwa Mwanaume basi!
 
Keshokutwa ndio kesho eeeh...
 
Akili ninazo bro,. Ni vile tu nimetaka kupima ukubwa wa tamaa yake, na kesho nataka nimuombe penz ili nione atatumia njia gan ya kusema leo ninadharula tutaonana kesho alaf anakuja kuonana na mim mwenyew
 
Vijana wenzangu tuna feli pakubwa sana hatujui tofauti kati ya sifa ya demu na mke ulipoanza tuu hizo ni sifa za demu
Sifa za Demu lazima awe mzuri hata kama anatabia chafu ila sifa za mke lazima awe na tabia na mwenendo mzuri ndio cha msingi sasa wewe unataka demu awe mke anyway utafika Mbinguni umechoka sana
 
Bro ni mke mtarajiwa, mwakan tunafunga ndoa
 
Nadhani ulichokua unanitafuta umekipata.... Sasa funga Bakuli lako.
 
Mkuu, ukweli unaouma ni kwamba, kuna wanawake wanaojiuza ukiambiwa utakataa. Yaan mpk waogopa. Unakuta na wanapost bible verses balaa. Picha za bikira Maria, yesu, Yoseph etc. Na ni mabingwa wa kwenda makanisa ya upako. Wanajiita mabint wa Yesu huku miili yao wakiwa wameigeuza mahekalu ya madanga. Nakuhakikishia, hadi wake za watu wanajiuza...

Mf. Wa kwanza... last few months, alikuja mmama na mbaba. Wakachukua chumba. Watu tulijua ni mke na mume wa mtu wametoka safari. Maana walikuja wanafatana wamezoeana kma wanajuana vile. Basi wakalaala. Asubuhi sana mbaba akatoka akasepa. Yule mama ghafla akatoka na kitaulo. Ni kipande cha mmama ana mwili na amepanda hewani haswaa. Akatoka nje mpk upande wa bar. Amevaa kitaulo hakijafunga vzr maana ana body kubwaa. Wateja wengine kama kawa wako bar. Alionekana kama amechanganyikiwa. Akatuuliza mmemuona yule mbaba aliyekuja naye? Tukamjibu ndio kapita muda sana. Akatuliza tumemwona kapita wapi tukamjibu kaondoka na barabara hatujui destination yake. Tukamwambia akavae nguo kwanza maana yuko uchi kbs. Akarudi akavaa. Akaangalia vijiwe vyote vya jirani ama kwenye supu kama yupo. Hayupo aisee. Tukameuliza vipi, mbona anapanic wakat ni mumewe. Akatuchosha.. akatuambia yeye hawajuani na huyo mbaba. Wamekutana hapo barabarani tu. Wakapiga story wakaelewana. Basi wakaja wakala wakanywa wakachukua room. Sasa yule baba amemuibia simu zote 2 kubwa. Alikua anamlazimisha huyu mwanamke aingie akaoge faster. Alimlazimisha mno hadibakaenda. Kuingia bafuni tu jamaa akakwapua simu zote akasepa. Yule mama akawa anahaha ataenda mueleza nn mumewe. Ila akashukuru jamaa hakuondoka na kile kibegi kilikua na hela nyingi alikua ametoka kuchukua hela za mchezo kwenye kikoba chao. Ponea yake ni kile kibegi alikifunga kwa password. Ujue dunia imeisha..

Mfano wa 2. Ni juzi tu. Kuamkia jana. Juzi wakaja mrembo na hips lake na tako na mkaka. Wakakaa wanakula na kunywa. Yaan wanaonekana wapenzi kbs ukiwaona aisee. Mapema tu mchana
Hawajalewa wala nn. Wamemaliza jamaa akachukua room. Jamaa akawa anasumbua sana kupunguziwa bei ila tukamgomea. Basi akalipa. Wakalala. Alajiri kijana akaamka akaulizia mahali pa mabasi ha mikoni pale tukamwelekeza. Akadanganya anafanya kazi kwenye mabasi gani sijui. Akasepa. Mrembo akaja kukurupuka simu haipo na jamaa hayupo jana asubuhi. Acha apagawe. Tukameuliza at first si mpenzi wako na mnajuana? Akajibu ndio. Tukamwambia basi usiwe na shaka utampata. Dada ana sura ya upole na unyenyekevu sana. Black beauty. Ngozi soft sana. Baadae akaendelea piga kelele nikaingilia kati. Nikamwambja aseme ukweli kama anamjua. Hamjui. Nilichoka. Lakini ndo matukio ya kila siku hayo yanatokeaga katika ofisi kama hizi...nikamwuliza ulikutana naye wapi? Barabarani[emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]

Mf. Wa tatu.. jana hiyo hiyo nimeingia ofisi ya kwanza, nakuta ngumi, binti mrembo sana aisee. Amenyoa. Amevaa blauzi ya mackenz na suruali ya jeans. Black beauty. Yaan amemkwida vibaya mno kijana hajamlipa peda yake. Kiujumla amemkopa[emoji119][emoji119] jamaa anasema hajamlala. Binti akamwambia umeninyandua usiku kicha nilipe. Jamaa anakataa na anasema hawezi kununua k. Wateja wengine wote wametoka vyumbani... tukamwambia huyo si mama yako ulale nae mpk asubuhi bure. Kama ni vichwa anakula basi usingalimuita. Binti anadai jamaa alimpigia simu mwenyewe ya kazi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] kulipa hataki. Wamama wakamwambia yule binti awape simu wamshikie apambanie haki yake yeye si mamake kama hakutaka asingemuita akale kichwa kingine[emoji23][emoji23][emoji23] poooh mbaka.. nilichokaaa... jamaa alibanwaaa. Niliwaambia wamalizane haraka sana ama nilete pira. Maana ni kuharibiana biashara. Kila siku huwa ni nguni. Mabint ni warembo mno jamani[emoji26][emoji26] inaumiza mno. Alipopata upenyo alikimbia kufaaa na geti akalibana.

Ushauri wangu hakika kwa vijana... musikimbilie kuoa watu ambao hamuwajui vzr. Jitahidi sana. Na wengi wanajiuza kwa style mbalimbali. Dunia imechafuka sana. Kuna ambao ni wastaarabu sana kwa kuwaangalia tu. Na wazazi wao wanajua mabinti zao wana ajira. Na wanatunza vibaya mno familia zao kiasi kwamba hata wazazi wao ukawaeleza binti yao anajiuza hatokubali.

Na hakuna wanawake wanaloga kama wahudumu wa mabar... vilinge vuote wanamaliza... yaan kama huamini kuwa karibu nao ndo utajua. Wengine wanaendaga viwanja vikali sana na wananunua vinywaji vya bei kujiupgrade kutokana na status ya masponsor wanaowataka.

Tuwe makini jamani...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahaa umemaliza. Ila wapo waliotilia pia

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sijui kama nitaoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa niowe mwezi wa 10 nikasogeza mbele mpaka mwezi huu wa 12.... Na kwa huu uzi ngoja nisogeze tena mpaka mwakani mwezi wa 4
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] oa mjomba acha wenge
 
Sio wadada mpk wakaka wapo wanaowapotezea muda wanawake na kuwadhurum pia Mali zao
 
Nilishawai tendwa apo nayaanza nyuma kidogo nikaumia kinoma nikasema sitoumizwa tena na mapenz, hii inanijia kwa mara ya pili sasa
Duh pole sana bro muda ndio muamuz wa yote sahau yaliyopita
 
Nilishawai tendwa apo nayaanza nyuma kidogo nikaumia kinoma nikasema sitoumizwa tena na mapenz, hii inanijia kwa mara ya pili sasa
Duh pole sana bro muda ndio muamuz wa yote sahau yaliyopita
 
Wewe ndo mwenye matatizo tena makubwa. Wewe ulitegemea akatae kutoa mbususu na ahadi zote hizo wakati mchumba wake ni lofa aka kapuku? Wanawake wote wanataka mbususu na hela, kama hutaki kaoe dada yako.
 
Mmmh pole mkuu usijaribu kumchunguza ama kumjaribu demu pindi tupo chuo kweli room moja tulikua wanaume ka nane hivi basi siku moja tukasema kila mtu atoe namba ya manzi ake af atongozwe na mchiz mmoja wetu pale looh ilikua balaa jaman Yan mademu wote wanakasema wapo single adi dem wangu looh [emoji28][emoji28][emoji28]
 

Mkuu apo mtest kua unataka ndogo uone ka anatoa ama lah [emoji28]
 
Duu yaani hawa viumbe hawaelewiki wanataka nn,,
Ndiyo maana ss wanaume tunakufa wengi kuliko wao na tunawaacha wakiwa wajane!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…