Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Mwishowe tunatangaziwa wapenzi wauana gest..
Hapana mkuu,,, Maisha bado nayapenda sana lakin vibao viwili vitatu atakula, kisha jmos ntamnunulia iyo Samsung
 
Reactions: Lee
K ni kama sahani ya wali kwa mama ntilie unatumia inaoshwa kisha anapakuliwa mwingine na ukijichanganya kurudi kama kawa inaoshwa unatengewa
 
Hakukuwa na ulazima hata wa kuzima umeme. Huyo Dem ndio angetangulia kisha akujuze yupo chumba kipi. Haina hata haja ya kumgegeda, unaingia tu unamuonyesha ushahidi kisha unapiga chini.
Mi nampiga chini bila ushaidi
 
Hakukuwa na ulazima hata wa kuzima umeme. Huyo Dem ndio angetangulia kisha akujuze yupo chumba kipi. Haina hata haja ya kumgegeda, unaingia tu unamuonyesha ushahidi kisha unapiga chini.
Apo nyuma niliwai kuwa na mmoja ambae alikuwa anaenda kuchukua chumba yey mwenyew, ila uyu anakuwaga na aibu kwanza hawezi ata kidogo kaka.
 
Hayo yote unayofanya ni ujinga mtupu from the beginning.

Na nakwambia utampoteza mwanamke anayekupenda. Hebu achana na hizo habari
 
Wewe umeongea point. Any smart girl hawezi kubali apoteze ushindi nusu fainali huku analiona kombe kuelekea fainali
 
Hayo yote unayofanya ni ujinga mtupu from the beginning.

Na nakwambia utampoteza mwanamke anayekupenda. Hebu achana na hizo habari
Moyo wangu pia unajisikia vibaya sana kufanya tukio kama ili, lakin naimani sitampoteza ni kwamba nataka ajifunze,, ata iyo Samsung nitaenda nayo mpya kabisa na box lake kisha nitamwambia nimekusamehe, na nitamsameh kabisa kakin lengo langu ajifunze
 
Wewe umeongea point. Any smart girl hawezi kubali apoteze ushindi nusu fainali huku analiona kombe kuelekea fainali
Bro hakuna kitu kama icho, niko smart sana kichwani ila sina vyeti, Demu naongea nae mim mwenyew original alaf nachukua simu ingine yenye laini feki nampigia akicheki kuna simu ingine inaingia kwa simu yake tena ni mwanaume aliyemuahid kumpatia zawad ya Samsung ananiambia subir kidogo mume wangu kuna mama yake mdogo anampigia, apo bas anakata cm yangu alaf anapokea tena simu yangu feki naendelea kuongea nae bila kujua.
 
Moyo wangu pia unajisikia vibaya sana kufanya tukio kama ili, lakin naimani sitampoteza ni kwamba nataka ajifunze,, ata iyo Samsung nitaenda nayo mpya kabisa na box lake kisha nitamwambia nimekusamehe, na nitamsameh kabisa kakin lengo langu ajifunze
Bora ujue na yeye alikuwa anaku enjoy alikujua kuliko ukafanya unachosema . Hakika hutamsamehe. Muda wa kumsamehe ni sasa. Sio wakati wa hilo tukio.

Halafu mara nyingi wachumba wengi wanaagana na makandokando hata siku moja kabla ya ndoa.
 
Hapana mkuu,,, Maisha bado nayapenda sana lakin vibao viwili vitatu atakula, kisha jmos ntamnunulia iyo Samsung
Duh mkuu hadi kufikia hapo bado unataka kuendelea nae na kumuoa?

Kweli "mchuma janga hula na wa kwao"
 
Tafuta hela mvulana ni malaika tu atakaekubali kutumia itel ya tochi aache magalaxy. Nakushauri ukifika ufike na vitu vyote ulivyoahidi Kisha mtake atulie.
 
Tafuta hela mvulana ni malaika tu atakaekubali kutumia itel ya tochi aache magalaxy. Nakushauri ukifika ufike na vitu vyote ulivyoahidi Kisha mtake atulie.
Nitamnunulia kila kitu nilichomuahid nitaenda navyo mkuu,,
 
Story tamu hii, ila nikukumbushe tu huo mtego ni mzito sana kwa wanawake wengi takribani 95% hawawezi kuuruka lazima watajinasa. Nimeshafanya hivyo mara kibao na hakuna mwanamke aliyetoboa.

My take:. Usimwache, wengi tunaanguka sana siku ya majaribu yetu. Pia muweke wazi kuwa huyo mtu uliyechat naye ni wewe, hivyo utazidi kumwongezea umakini na pia atajifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…