Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu moyo unanienda mbionsiku nzima ya leo, nimeshinda kwenye feni lakin jasho linanitiririka siku nzima. Saambili ndio filamu tunaianza.Mkuu Leo ndiyo Leo, Piga KVANT kabisa dushe lisimame Dede..
Tunasubiri tu mrejesho.
Atachunguzaje sasa au ampige chabo?Bro Hawa Wanawake wengi wanajiuza, Bora umkute anajiuza ukampenda na kujaribu kumbadili kuliko akakuficha.... Ila chunguza kama analiwa Bila kinga
Aswah na barid hiliHahaa uzi mzima umeona neno K-vant tu bro,,, hahahaa
achana nae huyo atakupotezea muda tuHii movie kungekuwa na CCTV ningeichukua, lakin naona kabisa jins ninavyompoteza mke. Lakin hakuna namna lazima ijulikane
Sema Unampenda Sana sio na yeye ananipendaa. Umedanganywa sisi wadada tukipendaga kwa dhati hata SMS za wanaume wengine hatujibu ....labda tuigizee tyu kuwapenda kwa ahadi ya ndoa....mwanamke akipendaa huwa acheat ..[emoji850][emoji850][emoji850]NAMPENDA SANA UYU DEMU NA YEYE ANANIPENDA SANA NA YUPO FREE ATA KUJIACHIA NAMIM ATA SEHEMU ZA WATU BILA KUJIFICHA, NIKIMUHITAJI MUDA WOWOTE ANATOKEA, PENZI NIJIPIMIE MIM TU NA NGEZI ZANGU, NUNDU ANALO TENA LAIN SANA, KWAO AMENIPELEKA, NAMIM KWETU NIMEMPELEKA,,, NI MTU MWAMINIFU SANA,
NI KWAMBA SIJAJUA NI PEPO GANI LA TAMAA LIMEMVAA UYU BINTI MREMBO WA NDOA TARAJIWA.
Hupendwii bwana wewe na nakuhakikishia siku uyo Dada akampata mwanaume ambae watapendana wote na waka ahidiana kuoana ...unaachwaa...uyo mwanamke yupo kwako kwa sababu umemuahidii kumuoa wala hakupendiiMkuu moyo unanienda mbionsiku nzima ya leo, nimeshinda kwenye feni lakin jasho linanitiririka siku nzima. Saambili ndio filamu tunaianza.
Sijui ni aibu kiasi gani ataipata uyu mwanamke.. i don't imagine
SawA Ila usimuache nakusisitiza.....angalia tu ni kitu kipi alikua apati.....umpatie alaf mipango ya ndoa iendeleeAsante Dada,, Hii movie nisipoikamilisha atajitetea uyu kwa kusema nilijua tu kuwa ni wew.. sasa nataka leo mim MASSETO original nimuombe mbususu kisha najua tu ataniambia leo kuna dharula nimeipata alaf anaenda kuonana na MASSETO wa kumletea SAMSUNG
Acha kumpoteza huyo jamaa,SawA Ila usimuache nakusisitiza.....angalia tu ni kitu kipi alikua apati.....umpatie alaf mipango ya ndoa iendelee
Kwan ww ujawai kucheat...ujawai kumfanyia mtu Ako mambo ya ajabu zaid ya aloyafanya huyo dada....... Haya yeye ni mtu mzima anaweza chukua ushauri wako akauacha wangu....au atoe wake kichwani!Acha kumpoteza huyo jamaa,
Kuna usemi unasema
"Once a cheater always a cheater"
Kuna baadhi ya wanawake wana hulka za kimalaya tu!
Sasa Kama kuna kitu alkuwa anakosa kwa nn hakuwa muwaz
Mrejesho bhasi !Wakuu hii situation inaniumiza moyo na sijui kama Dushe litasimama lakin nitaliinua na K-vant mojamoto..
WAKUU ILO TUKIO NALIFANYA KESHOKUTWA NIOMBEENI WAKUU