GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mchambuzi mahiri Hans Rafael ameomba kuvunja mkataba wake na Crown FM đź‘‘, hatua inayozua maswali kwa mashabiki wa uchambuzi wa michezo.
Taarifa nilizozipata kutoka kwa chanzo changu cha uhakika zinaeleza kuwa Hans amepewa ofa nono na Azam Media, jambo lililomsukuma kuomba kuondoka Crown FM.
Iwapo dili hilo litakamilika, huenda tukamwona Hans akiungana na Azam Media kwa ajili ya kazi mpya ya uchambuzi wa michezo.
Chanzo: sozy_media
Na kama unaenda huko Azam Media ninakuonya Kwanza kaage Kwenu napajua kwa Vipapai na Kufa kwa Kushtukiza.