Kumbe mtu anaweza akaangalia tamthilia ya kifilipino hadi akalia kama mtoto?

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Kweli kuna watu hisia zao ziko karibu, jana nipo chumbani na shemeji yenu alikua anaangalia tamthilia ya kifilipino, baada ya mda sijui nini kilitokea nashangaa analia sana mpaka kawa mwekundu, nikiangalia kule kwenye [emoji342] tv nao wanalia, na alikua ameweka sauti ya juu yani pale chumbani pakawa kama kuna msiba ni vilio tuu.

Namuuliza nini tatizo nashangaa ananikumbatia analia tuu kwa kwikwi, ikabidi nizime tv ndio akanyamaza, nilishangaa sana namuuliza vipi ananiambia ile love story ilimpeleka mbali kihisia.

Hii sijui inakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo WENGI MKUU,,, tatizo lao HAWAANGALII MOVIES kama Maigizo wanaangalia MOVIES KAMA REALITY.. hilo ndy tatizo...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishawahi kunitokea...mbele ya mama & madogo.
Nyie jamani acheni kitu inaitwa feelings
 
Wanawake tuishi nao kwa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakua alikumbuka aliemtoa bikra jinsi alivomtosa akaangukia pua kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…