Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,751
Kweli kuna watu hisia zao ziko karibu, jana nipo chumbani na shemeji yenu alikua anaangalia tamthilia ya kifilipino, baada ya mda sijui nini kilitokea nashangaa analia sana mpaka kawa mwekundu, nikiangalia kule kwenye [emoji342] tv nao wanalia, na alikua ameweka sauti ya juu yani pale chumbani pakawa kama kuna msiba ni vilio tuu.
Namuuliza nini tatizo nashangaa ananikumbatia analia tuu kwa kwikwi, ikabidi nizime tv ndio akanyamaza, nilishangaa sana namuuliza vipi ananiambia ile love story ilimpeleka mbali kihisia.
Hii sijui inakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app