Kumbe mzee Mwinyi "Mzee Ruksa" ni mzaliwa wa Mkuranga, Pwani...

Kumbe mzee Mwinyi "Mzee Ruksa" ni mzaliwa wa Mkuranga, Pwani...

Mkuu anachokiwakilisha Othman Masoud ni mipango ya ACT. Sio kama ni genius au clever kiasi hicho.
Hii plot ya maridhiano ilitengenezwa na maalim saif kitambo tu, sasa ni hatua za utekelezaji tu na kujaribu kupenya waweze fikia malengo yao.
OK
 
Kama fikira zako ndio hizi..basi hakuna Mzanzibar wa kweli......
 
Sitaki kuamini kama nchi hii inaendeshwa kihuni bila kufuata sheria. lakini kuna mambo kadhaa yananichanganya sana. Miongoni mwa mambo hayo ni hili la serikali ya muungano na serikali ya mapinduzi ya Zanzibari. Ni kivipi Hussein Mwinyi mzanzibari akawa Mbunge wa Mkuranga?
 
Back
Top Bottom