Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbowe ni Rais?Mbowe ana degree?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ni Rais?Mbowe ana degree?
Shangazi Fatma Karume hii mada umeileta hadi huku,Nilikuona kule Twitter now upo huku
Naifahamu historia vizuri pengine kuliko wewe....hiyo homework nilifanya siku nyingi sana..kama ni juu ya watu gani wa Pemba na Unguja waliofanya visiwa vya Zanzibar..basi utakuta hakuna Mzanzibar kabisa......Naona unahitaji kupewa historia kidogo lakini hapa patakuwa apatoshi ila jipe HOMEWORK kujua historia ya wakazi wa PEMBA na UNGUJA wali form ZANZIBAR.
Ila MWINYI sio mnzazibar,Hayati jaji SEPETU,Masauni na wengine wengi tu
Ukumbuki aligombea urais au ulikuwa ujazaliwa?Mbowe ni Rais?
Ndiye aliye kufahamisha? Ndio wajua Leo? Una faham kuwa ni mwenyeji wa wapi? Una fahamu kuhusu wazazi wake?
Itakuwa ujaangalia/sikiliza speech za kuapishwa leo na ile ya juzi.Mkuu naona kama una hoja hapa,ila hujaandika vizuri kwa mtu kuelewa.
Basi nenda pale MKURANGA na vitongoji vya MWANA MBAYA utajua asili ya MWINYINaifahamu historia vizuri pengine kuliko wewe....hiyo homework nilifanya siku nyingi sana..kama ni juu ya watu gani wa Pemba na Unguja waliofanya visiwa vya Zanzibar..basi utakuta hakuna Mzanzibar kabisa......
Nakazia ni wilaya ya IlalaKivule sio kijiji kwa sasa ni mji uko Dar na ni jimbo la Ukonga...!![emoji16][emoji16][emoji16]maisha yanaenda kasi
Mpuuzi wewe lini kagombea?Ukumbuki aligombea urais au ulikuwa ujazaliwa?
watasema ni mnyamwezi sababu kuna wanyamwezi wenye jina na suluhuGoli moja kwa moja dk ya 35 kipindi cha kwanza.
Wakule anaongoza huku na wa huku anaongoza kule.
Nasubiri watakaosema no.1 ni Mmanyema.
Mmh hiyo Elimu!!!
Kumbe kipindi hicho kivure ilikuwa pwani?Kivule sio kijiji kwa sasa ni mji uko Dar na ni jimbo la Ukonga...!![emoji16][emoji16][emoji16]maisha yanaenda kasi
Kwa hiyo hatakiwi kuwa Rais ?Mbowe ni Rais?
Mbona anaonekana kasoma elimu ya msingi Unguja?
Kambarage sio kuwa alizaliwa 1922?kumbe mwinyi amemkata age nyerere!!
nyerere 1925 mwinyi 1923
Mwinyi keshaanza anataka kero za muungano zizungumziwe za zamani na mpya zitakazo jitokeza na zote zipatiwe majibu.
Hizo kero azikuwepo wakati wa Magufuli.
Na raisi wa bara nae anasisitiza hilo hilo akigusia maswala ya fedha (hiyo ni hoja ya Othman Masoud siku zote) anataka Zanzibar iwe ‘safe heaven’ ya kuficha hela za kimataifa.
Watu walishaonya huyo jamaa Othman Masoud atakuwa remote control ya mwinyi.
Majuzi tena raisi wa bara anadai kesi zisizo na ushahidi zifutwe (target uhamasho) na hilo ni la Othman Masoud in other words raisi wa Tanzania kwa sasa nyuma ya pazia ni yeye.
Watu watafute njia za kummudu mama Samia mapema the woman is serious problem.
Nilijua tu ukiona raisi kateua VP ambae akijui chama na mtu ambae anamuweza elewa uongozi ni show yake sio ya Magufuli tena.