Kumbe mzee Mwinyi "Mzee Ruksa" ni mzaliwa wa Mkuranga, Pwani...

Kumbe mzee Mwinyi "Mzee Ruksa" ni mzaliwa wa Mkuranga, Pwani...

Alafu wakati mwingine mtu alipozaliwa inaweza kuwa siyo kwake.Baba yangu mm ni wa Songea but alikuwa anafanya kazi moro,sisi watoto tulizaliwa huko lkin mara zote sisi husema ni watu wa Songea.
 
Naona unahitaji kupewa historia kidogo lakini hapa patakuwa apatoshi ila jipe HOMEWORK kujua historia ya wakazi wa PEMBA na UNGUJA wali form ZANZIBAR.

Ila MWINYI sio mnzazibar,Hayati jaji SEPETU,Masauni na wengine wengi tu
Naifahamu historia vizuri pengine kuliko wewe....hiyo homework nilifanya siku nyingi sana..kama ni juu ya watu gani wa Pemba na Unguja waliofanya visiwa vya Zanzibar..basi utakuta hakuna Mzanzibar kabisa......
 
Mwinyi siyo Mzaliwa wa Zanzibar Bali alipelekwa na Mwalimu Kikazi

Ndiye aliye kufahamisha? Ndio wajua Leo? Una faham kuwa ni mwenyeji wa wapi? Una fahamu kuhusu wazazi wake?

Screenshot_20210331-163628.png
 
Mkuu naona kama una hoja hapa,ila hujaandika vizuri kwa mtu kuelewa.
Itakuwa ujaangalia/sikiliza speech za kuapishwa leo na ile ya juzi.

Ukijumlisha kauli zao ni mapema sana mama na mwinyi kuwa puppets wa Othman Masoud washaanza kuzinadi hoja zake mapema sana.

Jamaa huko inabidi wazinduke we have a problem.
 
Naifahamu historia vizuri pengine kuliko wewe....hiyo homework nilifanya siku nyingi sana..kama ni juu ya watu gani wa Pemba na Unguja waliofanya visiwa vya Zanzibar..basi utakuta hakuna Mzanzibar kabisa......
Basi nenda pale MKURANGA na vitongoji vya MWANA MBAYA utajua asili ya MWINYI
 
Kwa hiyo watoto wa huyu Mpemba jirani yangu waliozaliwa Mwananyamala hospital sio Wapemba/Wazanzibari ?
 
Mwinyi keshaanza anataka kero za muungano zizungumziwe za zamani na mpya zitakazo jitokeza na zote zipatiwe majibu.

Hizo kero azikuwepo wakati wa Magufuli.

Na raisi wa bara nae anasisitiza hilo hilo akigusia maswala ya fedha (hiyo ni hoja ya Othman Masoud siku zote) anataka Zanzibar iwe ‘safe heaven’ ya kuficha hela za kimataifa.

Watu walishaonya huyo jamaa Othman Masoud atakuwa remote control ya mwinyi.

Majuzi tena raisi wa bara anadai kesi zisizo na ushahidi zifutwe (target uhamasho) na hilo ni la Othman Masoud in other words raisi wa Tanzania kwa sasa nyuma ya pazia ni yeye.

Watu watafute njia za kummudu mama Samia mapema the woman is serious problem.

Nilijua tu ukiona raisi kateua VP ambae akijui chama na mtu ambae anamuweza elewa uongozi ni show yake sio ya Magufuli tena.

Mtazamo tu sio Fact.
 
Back
Top Bottom