Kumbe mzee Mwinyi "Mzee Ruksa" ni mzaliwa wa Mkuranga, Pwani...

Mmh mkuu nyerere 1921
Nyerere nahisi 1923....

Ila Mwinyi nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe kazaliwa 1925.

Mkitaka kuamini fuatilieni hotuba yake kipindi akiwa kwenye Msiba wa Mkapa kule Lupaso.
 
Mwinyi keshaanza anataka kero za muungano zizungumziwe za zamani na mpya zitakazo jitokeza na zote zipatiwe majibu.

Hizo kero azikuwepo wakati wa Magufuli.

Na raisi wa bara nae anasisitiza hilo hilo akigusia maswala ya fedha (hiyo ni hoja ya Othman Masoud siku zote) anataka Zanzibar iwe ‘safe heaven’ ya kuficha hela za kimataifa.

Watu walishaonya huyo jamaa Othman Masoud atakuwa remote control ya mwinyi.

Majuzi tena raisi wa bara anadai kesi zisizo na ushahidi zifutwe (target uhamasho) na hilo ni la Othman Masoud in other words raisi wa Tanzania kwa sasa nyuma ya pazia ni yeye.

Watu watafute njia za kummudu mama Samia mapema the woman is serious problem.

Nilijua tu ukiona raisi kateua VP ambae akijui chama na mtu ambae anamuweza elewa uongozi ni show yake sio ya Magufuli tena.
 
Lakini Mwinyi anaonekana kama ni Mmatumbi au Mndegereko hivi, kuwa mzaramo nakataa.

Ni kwa nia njema nasema, sina ubaya mie na mzee Ruksa.
Ni mndenge stan, familia yake ipo pale temeke mwisho kwenye zile KOTA zilizobomolewa ila nyumba za familia yake azijaguswa pamoja na shule ndani ile eneo lenye magereji.
 
..Kwa hiyo wa Zanzibar wenye familia zao bara...sio waZanzibar...? Kwa Mzanzibar kuwa na familia bara au M' bara kuwa na familai Zanzibar haiondoi asili ya mtu
 
kumbe mwinyi amemkata age nyerere!!
nyerere 1925 mwinyi 1923
Nahisi Kama Kuna makosa hapo, nyerere alizaliwa 1922, na mwinyi alizaliwa 1925.nyerere alifariki 1999 akiwa na miaka 77
 
Mwinyi keshaanza anataka kero za muungano zizungumziwe za zamani na mpya zitakazo jitokeza na zote zipatiwe majibu.

Hizo kero azikuwepo wakati wa Magufuli.

Na raisi wa bara nae anasisitiza hilo hilo akigusia maswala ya fedha (hiyo ni hoja ya Othman Masoud siku zote) anataka Zanzibar iwe ‘safe heaven’ ya kuficha hela za kimataifa.

Watu walishaonya huyo jamaa Othman Masoud atakuwa remote control ya mwinyi.

Majuzi tena raisi wa bara anadai kesi zisizo na ushahidi zifutwe (target uhamasho) na hilo ni la Othman Masoud in other words raisi wa Tanzania kwa sasa nyuma ya pazia ni yeye.

Watu watafute njia za kummudu mama Samia mapema the woman is serious problem.

Nilijua tu ukiona raisi kateua VP ambae akijui chama na mtu ambae anamuweza elewa uongozi ni show yake sio ya Magufuli tena.
Mkuu naona kama una hoja hapa,ila hujaandika vizuri kwa mtu kuelewa.
 
..Kwa hiyo wa Zanzibar wenye familia zao bara...sio waZanzibar...? Kwa Mzanzibar kuwa na familia bara au M' bara kuwa na familai Zanzibar haiondoi asili ya mtu
Naona unahitaji kupewa historia kidogo lakini hapa patakuwa apatoshi ila jipe HOMEWORK kujua historia ya wakazi wa PEMBA na UNGUJA wali form ZANZIBAR.

Ila MWINYI sio mnzazibar,Hayati jaji SEPETU,Masauni na wengine wengi tu
 
Back
Top Bottom