pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hata ningekuwa mimi ningekataa! Ni ngumu sana sana!Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi
Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
.. na wapumbavu!Ushawishi zaidi kwa wajinga!
Mkuu Acha kutetea ugaidi ....Ile footage ili onesha alikuwa nawatu wamebeba fire arms huku akuwashambulia ma presenter kisa wajalusha kindipindi alichokitengeneza yeye Bashite cha Shilawandu ili amuaibishe Gwanjiboy? Inawezekana kipindi hicho uli kuwa bado kijijini au hakuwai na simatifoniNini maana ya uvamizi kwa mujibu wa sheria zetu za nchi?
Siku zote Mwerevu kama Dk. Nchimbi hawezi Kuambatana na Mpumbavu wenu huyo 'Matege Ndani' uliyemtaja hapa Ok?Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi
Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Nakazia.Ndege wafananao huruka pamoja.
Makonda anamfunika kila mtu ambae ataambatana naeMoja point kubwa sana.Nitaomba kuitumia post yako siku za usoni.
Kama maigizo ya Makonda yanamfunika mtu mwenye akili kama Nchimbi basi waTanganyika wote ni vichaa hawana akili kabisa.Makonda anamfunika kila mtu ambae ataambatana nae
Makonda ndiye alikataa kupangiwa Ziara, alitaka kuambatana na mabosi zake na ripoti ya ziara badala ya kumpa katibu mkuu alikuwa anataka kuwasilisha kwa Mama kwa kigezo yeye ni mtoto wa Mama.Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi
Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Kwahiyo mtu mwenye mamlaka akiwa na firearms ni uvamizi?Mkuu Acha kutetea ugaidi ....Ile footage ili onesha alikuwa nawatu wamebeba fire arms huku akuwashambulia ma presenter kisa wajalusha kindipindi alichokitengeneza yeye Bashite cha Shilawandu ili amuaibishe Gwanjiboy? Inawezekana kipindi hicho uli kuwa bado kijijini au hakuwai na simatifoni
Nilipoona hiyo avatar yako nikaghairi kuweka points nilizotaka weka hapa... uzuri nyie watu na mbuzi akili zenu zinafanana. Kulala pamoja na mbuzi maisha yako yote then ukaja mjini ukubwani ni tatizo kubwa sana sana!!Ni bora kuliko Nchimbi.
Yaani ungesikia alivyokuwa anapambwa humu kabla ya Ukatibu Mkuu usingefikiri hana ushawishi kwa wananchi kiasi hiki.
Ukilinganisha umaarufu na ushawishi kwa wananchi; Makonda is numerous times better kuliko Nchimbi.
Simply put: Makonda is hugely popular to Nchimbi and Makala combined.
Magufuli alilewa sifa za mataahira kama kina Makonda akadhani uchaguzi itakua ni kumsukuma mlevi matokeo yake ule uchaguzi ulimchosha vibaya sana kiasi cha kumletea mauti!Mkuu Makonda alikuwa anagombea urais?? Wewe mdanganye Samia, atakiona zaidi ya alichokiona Mwendazake hadi akaamua kuweka mpira kwapani na kuondoka nao uwanjani maana mechi ilishamshinda mazima!
Sawa, mkuu. 🙏Nilipoona hiyo avatar yako nikaghairi kuweka points nilizotaka weka hapa... uzuri nyie watu na mbuzi akili zenu zinafanana. Kulala pamoja na mbuzi maisha yako yote then ukaja mjini ukubwani ni tatizo kubwa sana sana!!
poleWewe utakuwa haujui maana ya uongozi
Majungu hayo!Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi
Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Alitukanwa kifilosofia. Unaweza sema alipakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.Mbona Makonda kasifiwa alikichemsha chama?!
Labda alikichemsha mpaka kikatokota..Mbona Makonda kasifiwa alikichemsha chama?!