pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hata ningekuwa mimi ningekataa! Ni ngumu sana sana!Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi
Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi