Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Hata ningekuwa mimi ningekataa! Ni ngumu sana sana!
 
Nini maana ya uvamizi kwa mujibu wa sheria zetu za nchi?
Mkuu Acha kutetea ugaidi ....Ile footage ili onesha alikuwa nawatu wamebeba fire arms huku akuwashambulia ma presenter kisa wajalusha kindipindi alichokitengeneza yeye Bashite cha Shilawandu ili amuaibishe Gwanjiboy? Inawezekana kipindi hicho uli kuwa bado kijijini au hakuwai na simatifoni
 
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Siku zote Mwerevu kama Dk. Nchimbi hawezi Kuambatana na Mpumbavu wenu huyo 'Matege Ndani' uliyemtaja hapa Ok?
 
Acheni kuchochea vita wakuu!!

Vifo vinavyosababishwa na mafuriko vinatosha kuleta huzuni nchini msisababishe vita vingine vya uhasama!!
 
Makonda anamfunika kila mtu ambae ataambatana nae
Kama maigizo ya Makonda yanamfunika mtu mwenye akili kama Nchimbi basi waTanganyika wote ni vichaa hawana akili kabisa.
 
Tatizo kubwa sana ndani ya CCM ni ubinafsi na unafiki wa viongozi wake. JPM alikuwa amejitahidi sana kufyeka matatizo hayo kwa kiasi kikubwa ingawa hakuwa mkamilifu
 
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Makonda ndiye alikataa kupangiwa Ziara, alitaka kuambatana na mabosi zake na ripoti ya ziara badala ya kumpa katibu mkuu alikuwa anataka kuwasilisha kwa Mama kwa kigezo yeye ni mtoto wa Mama.

Alikuwa anjijenga yeye binafsi badala ya chama, hata huko Arusha ni one man show akitaka kuonekana anajua kila kitu, wenye akili wanamchora tu.
 
Mkuu Acha kutetea ugaidi ....Ile footage ili onesha alikuwa nawatu wamebeba fire arms huku akuwashambulia ma presenter kisa wajalusha kindipindi alichokitengeneza yeye Bashite cha Shilawandu ili amuaibishe Gwanjiboy? Inawezekana kipindi hicho uli kuwa bado kijijini au hakuwai na simatifoni
Kwahiyo mtu mwenye mamlaka akiwa na firearms ni uvamizi?
 
Ni bora kuliko Nchimbi.

Yaani ungesikia alivyokuwa anapambwa humu kabla ya Ukatibu Mkuu usingefikiri hana ushawishi kwa wananchi kiasi hiki.

Ukilinganisha umaarufu na ushawishi kwa wananchi; Makonda is numerous times better kuliko Nchimbi.

Simply put: Makonda is hugely popular to Nchimbi and Makala combined.
Nilipoona hiyo avatar yako nikaghairi kuweka points nilizotaka weka hapa... uzuri nyie watu na mbuzi akili zenu zinafanana. Kulala pamoja na mbuzi maisha yako yote then ukaja mjini ukubwani ni tatizo kubwa sana sana!!
 
Mkuu Makonda alikuwa anagombea urais?? Wewe mdanganye Samia, atakiona zaidi ya alichokiona Mwendazake hadi akaamua kuweka mpira kwapani na kuondoka nao uwanjani maana mechi ilishamshinda mazima!
Magufuli alilewa sifa za mataahira kama kina Makonda akadhani uchaguzi itakua ni kumsukuma mlevi matokeo yake ule uchaguzi ulimchosha vibaya sana kiasi cha kumletea mauti!
 
Nilipoona hiyo avatar yako nikaghairi kuweka points nilizotaka weka hapa... uzuri nyie watu na mbuzi akili zenu zinafanana. Kulala pamoja na mbuzi maisha yako yote then ukaja mjini ukubwani ni tatizo kubwa sana sana!!
Sawa, mkuu. 🙏
 
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Majungu hayo!
 
Back
Top Bottom