Kumbe ndio maana nchi ya Rwanda inakua sana kiuchumi

Kumbe ndio maana nchi ya Rwanda inakua sana kiuchumi

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo baada ya kujazwa roho mtakatifu kwa kutembelewa na Maria kitoto kichanga kikaruka tumboni kwa furaha.

Nawasihi hawa uchwara wasiomjua mungu na bado wanajiita walokole wamuheshimu mama wa mungu ili wapate ondoleo la dhambi kupitia mwanae kama alivyotueleza kuwa yeye ndiye njia ya kweli na uzima.

Huwezi kimheshimu mwana ukamuacha mwsna.

Mama maria ni mama yetu kwa kuwa ameunganika na mwanae yesu katika kutokomboa (mathayo)
 
IMG_20220830_095253.jpg
 
Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo...
Mkuu unajielewa unachozungumza?

Yani Bikra Maria ashuke Rwanda!?

😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Hiyo Rwanda yenye uchumi mkubwa ni ipi!?

Rwanda still a low income country.

Na bado ina miaka mingi sana kuendelea kiuchumi.
 
Back
Top Bottom