Kumbe ndio maana nchi ya Rwanda inakua sana kiuchumi

Kumbe ndio maana nchi ya Rwanda inakua sana kiuchumi

😁😁 Wewe na Mimi nani ana laana Sasa. Ulaaniwe wewe uliyesahau mababu zako waliokutangulia.
Yesu hafsnanishwi na babu. Yule ni alitoka kwa mungu mwanga kwa mwanga. Aliyezaliwa kwa uwezo wa bikira maria. Nadadiki kwa kanisa moja takatifu katoliki na la mitume.
 
Yesu hafsnanishwi na babu. Yule ni alitoka kwa mungu mwanga kwa mwanga. Aliyezaliwa kwa uwezo wa bikira maria. Nadadiki kwa kanisa moja takatifu katoliki na la mitume.
Yesu alikua dini gani
 
Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo baada ya kujazwa roho mtakatifu kwa kutembelewa na Maria kitoto kichanga kikaruka tumboni kwa furaha.

Nawasihi hawa uchwara wasiomjua mungu na bado wanajiita walokole wamuheshimu mama wa mungu ili wapate ondoleo la dhambi kupitia mwanae kama alivyotueleza kuwa yeye ndiye njia ya kweli na uzima.

Huwezi kimheshimu mwana ukamuacha mwsna.

Mama maria ni mama yetu kwa kuwa ameunganika na mwanae yesu katika kutokomboa (mathayo)
Hivi baada ya kumzaa Yesu,bikra ilirudi?
 
Back
Top Bottom