Kumbe ndio maana nchi ya Rwanda inakua sana kiuchumi

Kumbe ndio maana nchi ya Rwanda inakua sana kiuchumi

We hujiulizi kwa nini vikanisa vyenu vinapotea daily lakini kanisa katoliki linashamili kila uchwao licha ya dhoruba
Kwani kuna tofauti kati ya kanisa katoliki na makanisa mengine, yote si makanisa tu
 
Kwani kuna tofauti kati ya kanisa katoliki na makanisa mengine, yote si makanisa tu
Kanisa la kakobe limeshakufa. Kanksa la gwajima limeshakufa. Kanisa la mwingula limeshakufa bado la mwanposa lakini hili la Mungu halifi hata kidogo ndo kwanza linazidi kuchanja mbuga licha ya kutukanwa daily ukisikia mahubili ya wasabato yote ni kulishmbulia
 
Sawa, lakini umekubali kwamba farao naye alikuwa na masanamu?
 
Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo baada ya kujazwa roho mtakatifu kwa kutembelewa na Maria kitoto kichanga kikaruka tumboni kwa furaha.

Nawasihi hawa uchwara wasiomjua mungu na bado wanajiita walokole wamuheshimu mama wa mungu ili wapate ondoleo la dhambi kupitia mwanae kama alivyotueleza kuwa yeye ndiye njia ya kweli na uzima.

Huwezi kimheshimu mwana ukamuacha mwsna.

Mama maria ni mama yetu kwa kuwa ameunganika na mwanae yesu katika kutokomboa (mathayo)

Huyo Mama Maria waliyemwona alikuwa ni mzungu mweupe au muafrika mweusi ??
 
Mkuu unajielewa unachozungumza!??
Yani Bikra Maria ashuke Rwanda!?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Hiyo Rwanda yenye uchumi mkubwa ni ipi!?
Rwanda still a low income country.
Na bado ina miaka mingi sana kuendelea kiuchumi.

Labda Mama huyo waliyemwona ni Mama Kagame 😛
 
Hiki kibri cha uzima ulichonacho kitatoka na utajuta sana kwa nini ulimkataa mama wa mungu. Ipo siku yaja nyote mtamkiri.
Kama Mungu ana mama, je nani alikuwa Mungu wakati bado huyo Mungu hajazaliwa?
 
Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo baada ya kujazwa roho mtakatifu kwa kutembelewa na Maria kitoto kichanga kikaruka tumboni kwa furaha.

Nawasihi hawa uchwara wasiomjua mungu na bado wanajiita walokole wamuheshimu mama wa mungu ili wapate ondoleo la dhambi kupitia mwanae kama alivyotueleza kuwa yeye ndiye njia ya kweli na uzima.

Huwezi kimheshimu mwana ukamuacha mwsna.

Mama maria ni mama yetu kwa kuwa ameunganika na mwanae yesu katika kutokomboa (mathayo)
Naweza kusema this is a rubbish thread of the year.

Total ugoro.
 
Nikue mara ngapi. Au walokole ndo siku wakijua ukweli watarudi wakijipiga vifua kuwTumekosa sisi tumekosa sana ndiyo masna tunakuomba maria mwrnye heli bikira wa daima.
Kwa mtu aliyekua kiimani hawezi kuzisema dini za watu wengine. Focus kuwaambia watu wamwamini Mungu wa Mbinguni katika Roho zao sio kusema dini za wengine. Mungu anaabudiwa katika na Roho sio kwenye huo mlima unao uamini boss. Maana hujui siku wala saa. Hivyo hata kwenye gari unatakiwa kumwabudu Mungu hata ukiwa chini ya shimo unachimba madini hata ukiwa chooni pote unatakiwa kumwabudu Mungu hakuna sehemu maalumu ya kumwabudu Mungu. Hayo mengine ni matakwa ya katiba za makanisa tu.
 
Masanamu. Sisi wakatoliki hatunaga masanamu tuna visakramenti. Hii ndo tofauti
Thread ya kijinga na kinafiki.

Yaani zile sanamu leo unakataa sio sanamu?

Mbona padre hukiri ni sanamu ila hamuziabudu?

HALAFU WEWE UNAANGALIA KANISA KWA JICHO LA NYAMA KAMA VILE UZURI UKUBWA NA UTAJIRI WA KATOLIKI SIO KIROHO.

LABDA NIKUULIZE,WAPI IMESEMWA TUMUOMBE AU KUMUHESHIMU MARIA?
 
Back
Top Bottom