NdiyoUnazifahamu nchi zenye uchumi mkubwa East Africa
Taja tatuNdiyo
Rwanda, kenyaTaja tatu
Mkuu unajielewa unachozungumza?Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo...
π€£ Ok sawaRwanda, kenya
Nchi za Afrika mashariki na kati kwa uchumi.Rwanda, kenya
Laki moja ya tz ni sawa na elfu 30 ya pesa ya RwandaNchi za Afrika mashariki na kati kwa uchumi.
1)Ethiopia.
2)Kenya.
3)Tanzania.
4)Uganda
5)Rwanda na.k na.k.
Rwanda ni bado nchi inayojikongoja.
βοΈNchi za Afrika mashariki na kati kwa uchumi.
1)Ethiopia.
2)Kenya.
3)Tanzania.
4)Uganda
5)Rwanda na.k na.k.
Rwanda ni bado nchi inayojikongoja.
πππππππBasi mkuu bado hujajua uchumi unapimwaje.Laki moja ya tz ni sawa na elfu 30 ya pesa ya Rwanda
Hiyo Haina maana Kwenye exchangeLaki moja ya tz ni sawa na elfu 30 ya pesa ya Rwanda
Tanzania ugumu wa maisha unafanya vichaa wanaongezeka ni Wahi hospitalPale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata...
Mkuu ukichaa wangu ni kuongea ukweli au!!Tanzania ugumu wa maisha unafanya vichaa wanaongezeka n
Wahi hospital
Hatari sana ila tutafika tuπTanzania ugumu wa maisha unafanya vichaa wanaongezeka n
Wahi hospital
Ndio maana nikamuuliza hela ya S.Korea inalingana na Tanzania shillings,je kuna taifa lolote hapa Afrika linaifikia S.Korea kiuchumi!?Hiyo Haina maana Kwenye exchange
Tanzania na s. Korea tunalingana uchumi. Wao wanatuzidi nyuklia tu.Ndio maana nikamuuliza hela ya S.Korea inalingana na Tanzania shillings,je kuna taifa lolote hapa Afrika linaifikia S.Korea kiuchumi!?