Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia nimo.Job Ndugai,
Kassim Majaliwa
Tulia Ackson,
Silinde, Joseph Kasheku Msukuma,
Humphrey Polepole,
Lusinde,
David Kafulila,
Mwigulu Nchemba,
Patrobas Katambi.
Jenista Muhagama
Gwajiboy... (Josephat Gwajima)
NK........
Listi ya Sukuma Ghang ni ndefu
Sukuma Ghang wana nguvu ya pesa !. Watumishi Gwengi sana ni Sukuma Ghang. Karibia 90% ya wabunge ni Sukuma Ghang maana Chuma aliwapa ubunge Bureeeeeeee !
Utanishangaa na mimi nitakushangaa zaidi wakati wa kwenda kuchukua form ya kugombea urahis,hakika utakumbuka usemi usemao "anaemhukumu huyu na awe wakwanza kutupa jiwe"Hamna kitu wala hamna wa kumfanya kitu,ukishakuwa Mwenyekiti upo juu ya wote,unaprint form moja tu ya uraisi wengine wakatoe kopi.
Msajili anapokea original
Kwa hiyo ndugae ndio alimpiga risasi LissuwZilianza threat za wana CCM tunawajua kuwa watakuwepo Jamii forum kwa miaka 10 ambao ghafla wakanda kumpiga Rais Samia
Akaja Polepole na Shule ya Uongozi
Wanaharakati wao wa Facebook, Instagram na twitter wakitumia kauli za "hawezi Lucas viatu, hatoshi nk"
Sasa Ndugai katoa siri yao na kufafanua kinyongo chao. Alianza mwanamke kamwe hawezi kuwa kama mwanaume, sasankavuka mpaka Rais anakopakopa aisee this is too much
Tunajua kundi lenu
Bashiru
Kabudi
Dotto
Naibu Spika
Gwajima
Baadhi ya wabunge
Na Baadhi ya ma DC
Kiongozi mmoja mkubwa ndani ya chama (Huyu simtaji kwa sababu)
Viongozi UVCCM ya mikoa na wilaya awamu ya 5
Wamekuwa wakiongoza kampeni dhidi ya Rais Samia
Jambo zuri ni kuwa hamta fanikiwa kamwe
Tukutane 2022 ndani ya Chama afu tukutane 2025 uchaguzi Mkuu
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Acha tabia ya kutaja tu majina ya watu bila kuweka ushahidi. Jukwaa hili linaonekana siyo la hadhi yako. Unaonaje ukabaki huko Facebook? Ndani ya CCM hatupendi uzandiki wa aina hii ya kwako.Zilianza threat za wana CCM tunawajua kuwa watakuwepo Jamii forum kwa miaka 10 ambao ghafla wakanda kumpiga Rais Samia
Akaja Polepole na Shule ya Uongozi
Wanaharakati wao wa Facebook, Instagram na twitter wakitumia kauli za "hawezi Lucas viatu, hatoshi nk"
Sasa Ndugai katoa siri yao na kufafanua kinyongo chao. Alianza mwanamke kamwe hawezi kuwa kama mwanaume, sasankavuka mpaka Rais anakopakopa aisee this is too much
Tunajua kundi lenu
Bashiru
Kabudi
Dotto
Naibu Spika
Gwajima
Baadhi ya wabunge
Na Baadhi ya ma DC
Kiongozi mmoja mkubwa ndani ya chama (Huyu simtaji kwa sababu)
Viongozi UVCCM ya mikoa na wilaya awamu ya 5
Wamekuwa wakiongoza kampeni dhidi ya Rais Samia
Jambo zuri ni kuwa hamta fanikiwa kamwe
Tukutane 2022 ndani ya Chama afu tukutane 2025 uchaguzi Mkuu
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Mambo si ndiyo hayo. Ningeshangaa itajwe sukuma gang bila wewe kuhanikiza!Sukuma Ghang wana nguvu ya pesa !. Watumishi Gwengi sana ni Sukuma Ghang. Karibia 90% ya wabunge ni Sukuma Ghang maana Chuma aliwapa ubunge Bureeeeeeee[emoji15][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064]
Samia anashikiliwa na munguJob Ndugai,
Kassim Majaliwa
Tulia Ackson,
Silinde, Joseph Kasheku Msukuma,
Humphrey Polepole,
Lusinde,
David Kafulila,
Mwigulu Nchemba,
Patrobas Katambi.
Jenista Muhagama
Gwajiboy... (Josephat Gwajima)
NK........
Listi ya Sukuma Ghang ni ndefu
Sukuma Ghang wana nguvu ya pesa !. Watumishi Gwengi sana ni Sukuma Ghang. Karibia 90% ya wabunge ni Sukuma Ghang maana Chuma aliwapa ubunge Bureeeeeeee !
Kama kwenye chama kuna demokrasia ya kweli kuna shida gani Samia akishindanishwa na wenzie alishinda aendele akishindwa aachie ngazi,kwani lazima awe yeye tu!Zilianza threat za wana CCM tunawajua kuwa watakuwepo Jamii forum kwa miaka 10 ambao ghafla wakanda kumpiga Rais Samia
Akaja Polepole na Shule ya Uongozi
Wanaharakati wao wa Facebook, Instagram na twitter wakitumia kauli za "hawezi Lucas viatu, hatoshi nk"
Sasa Ndugai katoa siri yao na kufafanua kinyongo chao. Alianza mwanamke kamwe hawezi kuwa kama mwanaume, sasankavuka mpaka Rais anakopakopa aisee this is too much
Tunajua kundi lenu
Bashiru
Kabudi
Dotto
Naibu Spika
Gwajima
Baadhi ya wabunge
Na Baadhi ya ma DC
Kiongozi mmoja mkubwa ndani ya chama (Huyu simtaji kwa sababu)
Viongozi UVCCM ya mikoa na wilaya awamu ya 5
Wamekuwa wakiongoza kampeni dhidi ya Rais Samia
Jambo zuri ni kuwa hamta fanikiwa kamwe
Tukutane 2022 ndani ya Chama afu tukutane 2025 uchaguzi Mkuu
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Mnamuonea bure mzee wa watu.
🤣🤣🤣🤣 Tundul anyooshe akina nani?!Ngoja aje lisu awanyooshe
Lakini As long as Hakuna Katiba Mpya na Bora atawashughulikia ipasavyo na hawatakuwa na cha kumfanya.