Kumbe Ndugai ndio kiongozi wa hili kundi mtandaoni

Kumbe Ndugai ndio kiongozi wa hili kundi mtandaoni

Kama kwenye chama kuna demokrasia ya kweli kuna shida gani Samia akishindanishwa na wenzie alishinda aendele akishindwa aachie ngazi,kwani lazima awe yeye tu!
Utamaduni wa chama ni Rais kupewa kipindi cha pili amalizie, huo utamaduni uendelee hata kwake.
 
Job Ndugai,
Kassim Majaliwa
Tulia Ackson,
Silinde, Joseph Kasheku Msukuma,
Humphrey Polepole,
Lusinde,
David Kafulila,
Mwigulu Nchemba,
Patrobas Katambi.
Jenista Muhagama
Gwajiboy... (Josephat Gwajima)
NK........

Listi ya Sukuma Ghang ni ndefu

Sukuma Ghang wana nguvu ya pesa !. Watumishi Gwengi sana ni Sukuma Ghang. Karibia 90% ya wabunge ni Sukuma Ghang maana Chuma aliwapa ubunge Bureeeeeeee !
Mbona wanajulikana hao Mashetani. Kifupi ni kwamba wameshajulikana na Mh. Rais wetu Samia Suluhu Hassan ndiyo Rais na hawamuwezi. Tena wajue 2025 anapewa 5 atimize yake 10. Watajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe. Nawashauri wamfuate tu Mwendazake akawaongoze kuzimu.
 
Utamaduni wa chama ni Rais kupewa kipindi cha pili amalizie, huo utamaduni uendelee hata kwake.
Kabisa mkuu. Apewe yake 10 na ameshatudhihirishia kuwa anaweza mno. Tena na vikwazo vyote vya team Mwendazake lakini ametenda vyema mno. Hongera zake mama yetu. Ila sijui ni kwa nini anaendelea kuwafuga. Awapige chini aunde upya serikali.
 
Zilianza threat za wana CCM tunawajua kuwa watakuwepo Jamii forum kwa miaka 10 ambao ghafla wakanda kumpiga Rais Samia

Akaja Polepole na Shule ya Uongozi

Wanaharakati wao wa Facebook, Instagram na twitter wakitumia kauli za "hawezi Lucas viatu, hatoshi nk"

Sasa Ndugai katoa siri yao na kufafanua kinyongo chao. Alianza mwanamke kamwe hawezi kuwa kama mwanaume, sasankavuka mpaka Rais anakopakopa aisee this is too much

Tunajua kundi lenu
Bashiru
Kabudi
Dotto
Naibu Spika
Gwajima
Baadhi ya wabunge
Na Baadhi ya ma DC
Kiongozi mmoja mkubwa ndani ya chama (Huyu simtaji kwa sababu)
Viongozi UVCCM ya mikoa na wilaya awamu ya 5
Wamekuwa wakiongoza kampeni dhidi ya Rais Samia

Jambo zuri ni kuwa hamta fanikiwa kamwe
Tukutane 2022 ndani ya Chama afu tukutane 2025 uchaguzi Mkuu

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Watanzania itatuchukua miaka mingi sana kubadilika kifikra, leo tozo za miamala ya simu zimeongeza makusanyo ya TRA kwa mwezi December hadi kufikia 1.5 trilioni na bado tunakopa maana yake nini? Sasa limeibuka genge la wana CCM kujipendekeza kwa Rais eti yupo sawa. Hiyo ni kutaduta teuzi tu hamna lolote
 
Nyie maupinzan wenye akil mbovu, mtazid kupoteza akili mpk lin? Hizo nguv mnatumia kuwajadili ccm mngeztumia kuboresha vyama vyenu na ushawishi kwa wananchi, mngekuwa mbali sana.

Kwel upinzan Tz n hopelessly , ccm ni ya hovyo lkn kwa hawa wapinzan wenyew, botmra wazd kuongozwa milele na chama chakavu[emoji855]
 
Zilianza threat za wana CCM tunawajua kuwa watakuwepo Jamii forum kwa miaka 10 ambao ghafla wakanda kumpiga Rais Samia

Akaja Polepole na Shule ya Uongozi

Wanaharakati wao wa Facebook, Instagram na twitter wakitumia kauli za "hawezi Lucas viatu, hatoshi nk"

Sasa Ndugai katoa siri yao na kufafanua kinyongo chao. Alianza mwanamke kamwe hawezi kuwa kama mwanaume, sasankavuka mpaka Rais anakopakopa aisee this is too much

Tunajua kundi lenu
Bashiru
Kabudi
Dotto
Naibu Spika
Gwajima
Baadhi ya wabunge
Na Baadhi ya ma DC
Kiongozi mmoja mkubwa ndani ya chama (Huyu simtaji kwa sababu)
Viongozi UVCCM ya mikoa na wilaya awamu ya 5
Wamekuwa wakiongoza kampeni dhidi ya Rais Samia

Jambo zuri ni kuwa hamta fanikiwa kamwe
Tukutane 2022 ndani ya Chama afu tukutane 2025 uchaguzi Mkuu

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Tutasikia mengi kipindi hiki
 
FB_IMG_1641191160931.jpg
 
Job Ndugai,
Kassim Majaliwa
Tulia Ackson,
Silinde, Joseph Kasheku Msukuma,
Humphrey Polepole,
Lusinde,
David Kafulila,
Mwigulu Nchemba,
Patrobas Katambi.
Jenista Muhagama
Gwajiboy... (Josephat Gwajima)
NK........

Listi ya Sukuma Ghang ni ndefu

Sukuma Ghang wana nguvu ya pesa !. Watumishi Gwengi sana ni Sukuma Ghang. Karibia 90% ya wabunge ni Sukuma Ghang maana Chuma aliwapa ubunge Bureeeeeeee !
Tatizo watetezi wa Samia ni villlazzer, ghang ni kitu gani sasa?
 
Kama unajua hawata fanikiwa umewataja wa nn sasa? Hofu na chuki ndio sifa yenu ya kushinda madaraka
 
Kutoka monduli hadi Ilulu, Bashiru, Lusinde, Majaliwa wakutana kupanga mipango mizito ya Mwaka 2022
Hii habari ilikuwa na ukweli? Au propaganda tu.
 
Back
Top Bottom