Kumbe Ndugai ndio kiongozi wa hili kundi mtandaoni

CCM inao heavy weight wengine kama Bulembo ukiona wameingia kazini ujue wanaenda kumfukuza mtu.
 
Taratibu huu mchezo auhitaji hasira,chief hangaya wa Sukuma gang kwa sasa ni nani?
 
Mimi pia nimo.

Hatutaki kuongozwa na Rais kilaza... Na ndani ya kamati huyo Mama ana watu 2 tu na wazee wa kizanzibar
 
Hamna kitu wala hamna wa kumfanya kitu,ukishakuwa Mwenyekiti upo juu ya wote,unaprint form moja tu ya uraisi wengine wakatoe kopi.
Msajili anapokea original
Utanishangaa na mimi nitakushangaa zaidi wakati wa kwenda kuchukua form ya kugombea urahis,hakika utakumbuka usemi usemao "anaemhukumu huyu na awe wakwanza kutupa jiwe"
 
Kwa hiyo ndugae ndio alimpiga risasi Lissuw
 
Acha tabia ya kutaja tu majina ya watu bila kuweka ushahidi. Jukwaa hili linaonekana siyo la hadhi yako. Unaonaje ukabaki huko Facebook? Ndani ya CCM hatupendi uzandiki wa aina hii ya kwako.
 
Sukuma Ghang wana nguvu ya pesa !. Watumishi Gwengi sana ni Sukuma Ghang. Karibia 90% ya wabunge ni Sukuma Ghang maana Chuma aliwapa ubunge Bureeeeeeee[emoji15][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064]
Mambo si ndiyo hayo. Ningeshangaa itajwe sukuma gang bila wewe kuhanikiza!
Sikujua kama wapare nao wako hivi!
 
Samia anashikiliwa na mungu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kama kwenye chama kuna demokrasia ya kweli kuna shida gani Samia akishindanishwa na wenzie alishinda aendele akishindwa aachie ngazi,kwani lazima awe yeye tu!
 
Sio chadema tena wasaliti ni sukuma gang hapa safi
 
Ngoja aje lisu awanyooshe
🤣🤣🤣🤣 Tundul anyooshe akina nani?!
Hakika unachekesha! 🤣🤣🤣!
Kauli mbiu ni moja tu "KAZI IENDELEE".
Tundul yeye aje tu ili KAZI IENDELEEEE kwake maana ilibaki kiporo!

""KAZI INDELEEEEE""
 
Lakini As long as Hakuna Katiba Mpya na Bora atawashughulikia ipasavyo na hawatakuwa na cha kumfanya.

Kutoka monduli hadi Ilulu, Bashiru, Lusinde, Majaliwa wakutana kupanga mipango mizito ya Mwaka 2022
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…