Kumbe Ndugai ndio kiongozi wa hili kundi mtandaoni

Kama kwenye chama kuna demokrasia ya kweli kuna shida gani Samia akishindanishwa na wenzie alishinda aendele akishindwa aachie ngazi,kwani lazima awe yeye tu!
Utamaduni wa chama ni Rais kupewa kipindi cha pili amalizie, huo utamaduni uendelee hata kwake.
 
Mbona wanajulikana hao Mashetani. Kifupi ni kwamba wameshajulikana na Mh. Rais wetu Samia Suluhu Hassan ndiyo Rais na hawamuwezi. Tena wajue 2025 anapewa 5 atimize yake 10. Watajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe. Nawashauri wamfuate tu Mwendazake akawaongoze kuzimu.
 
Utamaduni wa chama ni Rais kupewa kipindi cha pili amalizie, huo utamaduni uendelee hata kwake.
Kabisa mkuu. Apewe yake 10 na ameshatudhihirishia kuwa anaweza mno. Tena na vikwazo vyote vya team Mwendazake lakini ametenda vyema mno. Hongera zake mama yetu. Ila sijui ni kwa nini anaendelea kuwafuga. Awapige chini aunde upya serikali.
 
Watanzania itatuchukua miaka mingi sana kubadilika kifikra, leo tozo za miamala ya simu zimeongeza makusanyo ya TRA kwa mwezi December hadi kufikia 1.5 trilioni na bado tunakopa maana yake nini? Sasa limeibuka genge la wana CCM kujipendekeza kwa Rais eti yupo sawa. Hiyo ni kutaduta teuzi tu hamna lolote
 
Nyie maupinzan wenye akil mbovu, mtazid kupoteza akili mpk lin? Hizo nguv mnatumia kuwajadili ccm mngeztumia kuboresha vyama vyenu na ushawishi kwa wananchi, mngekuwa mbali sana.

Kwel upinzan Tz n hopelessly , ccm ni ya hovyo lkn kwa hawa wapinzan wenyew, botmra wazd kuongozwa milele na chama chakavu[emoji855]
 
Tutasikia mengi kipindi hiki
 
Tatizo watetezi wa Samia ni villlazzer, ghang ni kitu gani sasa?
 
Kama unajua hawata fanikiwa umewataja wa nn sasa? Hofu na chuki ndio sifa yenu ya kushinda madaraka
 
Hii habari ilikuwa na ukweli? Au propaganda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…