Hilo neno sisi tumelitumia sana shule utaskia jamaa mtabe sana... Ni moja ya neno maarufu sana kwa shule za Dar enzi hizo (sijui kwa mikoa mingine).Kuna huyu mdau wa hapa jamiiforums anapenda sana kutumia neno MTIBELI, utasikia "sheria za kitibeli ni ngumu sana haiwezekani kwa mtu wa kawaida sijui na uongo gani mwingine huko😂"
Binafsi namkubali sana huyu jamaa ila umeshawahi kujiuliza UTIBELI ni nini? sasa leo nimeamua kufuatilia nijue maana ya neno MTIBELI kumbe hilo neno limebuniwa na linatumiwa na mtu mmoja tu hapa dunia na halitambuliki kwenye lugha ya KISWAHILI🤣ona... View attachment 3660471
Robert Heriel Mtibeli ni kweli?Chura kiziwi ni mtibeli .....
Ilikua ukiskia mtu anaitwa mtabe au mtibeli ujue ni mtu mnoma sana hapo shuleni, na ilikua lazima mkienda kupiga Pepa zile za weekend muulize like oya, hivi hapa mtabe wenu nani?😂😂😂Huko shuleni ili mtu awe MTIBELI alipaswa kuwa na vigezo gani?
Kuna huyu mdau wa hapa jamiiforums anapenda sana kutumia neno MTIBELI, utasikia "sheria za kitibeli ni ngumu sana haiwezekani kwa mtu wa kawaida sijui na uongo gani mwingine huko😂"
Binafsi namkubali sana huyu jamaa ila umeshawahi kujiuliza UTIBELI ni nini? sasa leo nimeamua kufuatilia nijue maana ya neno MTIBELI kumbe hilo neno limebuniwa na linatumiwa na mtu mmoja tu hapa dunia na halitambuliki kwenye lugha ya KISWAHILI🤣ona... View attachment 3660471
Ngoja watibeli waje!
Ameamua kutengeneza Identity yake, niliwahi kumuuliza maana ya hilo neno ila majibu hayakunyooka. Wenye AI yao wamekupa jibu mujarabu, its just a nickname.
Ni kwamba post zake huwa ni fikirishi na zinaweza kuwa tiba ya akili kwa baadhi ya watu ila sasa huwa naona anajipaga sifa sana na huo UTIBELI wake yaani ni kama mtu special.
Robert Heriel Mtibeli ni kweli?