Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Sana yanKitengo cha CCM propaganda wajua kucheza mind games sana
Halafu ni consistencySana yan
Wewe ni mtume wa allah, pokea zawadi yako sasa hivi.Mara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!
Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?
Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ?
Ndo Maana either nitatumia English au codes
Britanicca
Panasonic soundHivi, hizo sauti mbili kutoka kulia na kushoto zikitoka kwa wakati mmoja zinazalisha mlio gani? Inquisitive!
So wao ile nimegundua tukitumia codes wanakuwa safe zaidiJamiiForums wamesema utumie codes?
Jamaa huyu ni fix sana, asiwafikirishe bure. Ni kama haya mitume wa kisasa, anatoa unabii wa mchongo ili awe tayari kuufananisha na tukio lolote litakalotokea.Sijaambulia kitu kabisa
Siyo Lasonic sounds kweli?Panasonic sound
BISHUBA BYONKA..Hamna wa kukuamini hapa,uzuri unapokanyaga nasi tupo pale pale.Watch outMSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA
Mwili wa jana umevaa suti ya leo.
LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA
Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI
Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca
Akamatwe na asulubishwe!Jamaa huyu ni fix sana, asiwafikirishe bure. Ni kama haya mitume wa kisasa, anatoa unabii wa mchongo ili awe tayari kuufananisha na tukio lolote litakalotokea.
Zile double deck ziliwadatisha sana wakinga, kila mkinga alinunua, anaifunika na kitambaa cha kufumwa na uzi wa swetaSiyo Lasonic sounds kweli?
Kwa maandishi haya watu wameshakutambua kitambo.Mara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!
Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?
Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ? Na passport wakaiblock
Ndo Maana either nitatumia English au codes
Britanicca
Wasalimie Uyole mpaka InyalaaCodes ngumungumu,wanaume mnitafsirie tafadhali….madam nimeshindwa🧐
Ntawaumbua sana na mtasubiri sanaAkamatwe na asulubishwe!
Kingans by the Ruhuji river banks!Watuletee mikate ya kikinga na numbu tuione siku!Zile double deck ziliwadatisha sana wakinga, kila mkinga alinunua, anaifunika na kitambaa cha kufumwa na uzi wa sweta
Hata walioulizwa hawanijui haha walionewaKwa maandishi haya watu wameshakutambua kitambo.
I mean wewe ni bado sana kwenye haya mambo na sasa umeropoka siri yako wewe mwenyewe.
All in all ninakuelewa unajaribu kufanya nini.
NI VIZURI SANA MKUU.TUPO PAMOJA.
Haiitwi mikate, ni mabumunda ya virgin wheatKingans by the Ruhuji river banks!Watuletee mikate ya kikinga na numbu tuione siku!
Nilihama mkuuWasalimie Uyole mpaka Inyalaa
Hebu tafuna "buni" zako kwa upole kwanza kabla haujakaa ule mkao wenu kama mnakuna nazi mbugie ebitoke!Ntawaumbua sana na mtasubiri sana
Kesho naweka ushahidi wa Makonda Mchengerwa na FA na Msigwa kule pesa za kujenga viwanja kwa ajili ya Afcon !
Mbw* ninyi msinichokoze! Nina uwezo wa kutoa Thread Moja hadi Samia akajiuzuru endeleeni