Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Mkuu Burita, @britanicca,kiukweli kabisa hapa nimetoka kapa!, niko gizani kabisa!Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca
ExactlyAsiyelijua hili ni mgeni JF au ameanza kukufuatilia baada ya oktoba 29
The Encyclopædia Britannica (Latin for 'British Encyclopædia') is a general-knowledge English-language encyclopaedia. It has been published since 1768 and, after several ownership changes, is currently owned by Encyclopædia Britannica, Inc. The 15th edition, published in 2010, spans 32 volumes and 32,640 pages and was the last printed edition.[1] Since 2016, it has been published online at Britannica.com.MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA
Mwili wa jana umevaa suti ya leo.
LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA
Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI
Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca
Ulete...Yes natafuta Uzi
😂😂😂Unaandika mafumbo hapa halafu baadae Mange akifunguka jambo unakuja kujifanya ulitangulia kusema! Kinachokufanya ushindwe kueleza kinagaubaga ni nini?
Zishushe tu kwa kweli 😂😂😂Ntawaumbua sana na mtasubiri sana
Kesho naweka ushahidi wa Makonda Mchengerwa na FA na Msigwa kule pesa za kujenga viwanja kwa ajili ya Afcon !
Mbw* ninyi msinichokoze! Nina uwezo wa kutoa Thread Moja hadi Samia akajiuzuru endeleeni
Nimeambulia ajuzaSijaambulia kitu kabisa
Dubai ya zamaniMSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA
Mwili wa jana umevaa suti ya leo.
LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA
Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI
Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca
Why bother; keep it to yourself if it pleases you!MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA
Mwili wa jana umevaa suti ya leo.
LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA
Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI
Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca
Too much of anything, good or bad gets boring.Mara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!
Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?
Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ? Na passport wakaiblock
Ndo Maana either nitatumia English au codes
Britanicca
Exactly.Jamaa huyu ni fix sana, asiwafikirishe bure. Ni kama haya mitume wa kisasa, anatoa unabii wa mchongo ili awe tayari kuufananisha na tukio lolote litakalotokea.
Sikulazimishi kusoma nyuzi zangu aisee kuna muda nilikupa thamani nilidhan I we ndo kalamu 1 Kumbe ni kalamu plain !!!Exactly.
Huu sasa umekuwa ni kama mchezo wa kupotezea watu wakati.
Kila mshiriki wa kutaka kufumbua fumbo anachangia sehemu yake na mleta fumbo yupo kama refarii tu kucheza na akili za watu na kadri mambo yanavyoendelea kujifumbua yenyewe.
Either way, yeye atadai credit kama tayari anavyofanya sasa hivi.
Huu ni utapeli wa aina yake.
Na usije ukashangaa siku moja ukiambiwa ni mtu anayetumiwa na hao hao waovu.
Modesty my friend. Do not forget that!Ntawaumbua sana na mtasubiri sana
Kesho naweka ushahidi wa Makonda Mchengerwa na FA na Msigwa kule pesa za kujenga viwanja kwa ajili ya Afcon !
Mbw* ninyi msinichokoze! Nina uwezo wa kutoa Thread Moja hadi Samia akajiuzuru endeleeni
Umechuja sana britanicca.Kuna kitu kimeingia vibaya sana kichwani mwako.Sikulazimishi kusoma nyuzi zangu aisee kuna muda nilikupa thamani nilidhan I we ndo kalamu 1 Kumbe ni kalamu plain !!!
Mi sikulazimishi kuniamini wala kusoma Nyuzi zangu 😎😎
Weka thread zote mkuu siyo tu wajiuzuru bali wapigwe vitanzi!Ntawaumbua sana na mtasubiri sana
Kesho naweka ushahidi wa Makonda Mchengerwa na FA na Msigwa kule pesa za kujenga viwanja kwa ajili ya Afcon !
Mbw* ninyi msinichokoze! Nina uwezo wa kutoa Thread Moja hadi Samia akajiuzuru endeleeni
Mkuu, ni sababu zipi zimewafanya waamue kuichoma karatasi ambayo ni ya jana?MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA
Mwili wa jana umevaa suti ya leo.
LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA
Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI
Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca
Mkuu, ni sababu zipi zimewafanya waamue kuichoma karatasi ambayo ni ya jana?MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA
Mwili wa jana umevaa suti ya leo.
LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA
Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI
Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca
Exactly.